Niko Ruaha kijijini, CCM imekwisha kabisa. Sera yao sasa ni mabomu ya machozi na kubambikiza kesi.
Mkurugenzi wa Mafunzo na Organaizesheni wa Chadema Taifa Singo Bensoni alisema Lengo la Mafunzo hayo ni kuhakikisha wanapata wakufunzi 30606 nchi nzima ambao watatawanyika katika kila kitongoji nchi nzima kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi na kuunda matawi ya Chama hicho ikiwa ni pamoja na kukifikishama hadi ngazi ya Chini
Nilikuwa nabip tu Mkuu. Ha ha ha ha... naona umeamua upige kabisa, eti? Mwalimu wangu Tabuley mtu wangu. Naona hakufanya kazi nzuri kihiiivyo. Ha ha ha....