Kuna mjadala bbc kuhusu posho na mishahara ya wabunge.Tanzania yupo zitto akitetea posho (sitting allowance) zifute na JUMA NKAMIA akitetea posho ziendelee na zaidi ya hivyo ziongezwe. Tafadhari fuatilia
Juma Nkamia aongelea kuwa per diem ya 80,000 anaitumia kwa mafuta ya petroli lakini Zitto amuumbua kwa kumwambia kuwa mafuta ya gari wabunge wanalipiwa na Bunge na lita za petroli hazihusiani na Posho ya 80,000Kuna mjadala bbc kuhusu posho na mishahara ya wabunge.Tanzania yupo zitto akitetea posho (sitting allowance) zifute na JUMA NKAMIA akitetea posho ziendelee na zaidi ya hivyo ziongezwe. Tafadhari fuatilia
Usimshangae Juma Nkamia. Amefadhiliwa na Dewji.ah! Hata Juma Nkamia? Suji CHIEF WHIP wa ccm anatumia fimbo gani kuwachapa hawa wabunge wa ccm maana wote wanaonekana kuwa kama mazezeta. Privately wanasema kimoja lakini mbele ya hadhara wanaonekana kusema jengine kabisa. Nidhamu ya woga. Hata hivyo nashangaa sana Juma Nkamia kushuka viwango kwa kasi ya kutisha!
Juma Nkamia aongelea kuwa per diem ya 80,000 anaitumia kwa mafuta ya petroli lakini Zitto amuumbua kwa kumwambia kuwa mafuta ya gari wabunge wanalipiwa na Bunge na lita za petroli hazihusiani na Posho ya 80,000Kuna mjadala bbc kuhusu posho na mishahara ya wabunge.Tanzania yupo zitto akitetea posho (sitting allowance) zifute na JUMA NKAMIA akitetea posho ziendelee na zaidi ya hivyo ziongezwe. Tafadhari fuatilia
kipaji cha kutaja majina ya wacheza sokaHivi Nkamia cv yake ikoje?