Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Azam IIMkuu, unafuatilia wapi na mie nifuatilie?
Azam IIMkuu, unafuatilia wapi na mie nifuatilie?
Ingia website ya AzamTV ina sehemu ya watch liveHivi hamna hata link? Nyie watu gani?
Check kwenye website ya AzamTV unaweza kuona liveHivi hamna hata link? Nyie watu gani?
Maufundi jeeWachekeshaji wa Bongo mpaka sasa muchwale. Naamini watu watakuwa wanamsubiria Teacher Mpamire....mpawhat?
Labda Katarina asituangushe
Mau kajitaidiHivi waandaji kwanini swala la lighting halikizingatiwa, pia wachekeshaji wetu wanang'ania sana kingereza waongee kiswahili tu ili waeleweke.
Mi naona MC Pilipili kajitahidi, zaidi ya dogo Pepe, mau na katarina
Hamna kitu, hovyoo tu ipo azam one nayo haifungukiIngia website ya AzamTV ina sehemu ya watch live
HUYU MBWA NILIMUONA KWENYE TANGAZO ANAONEKANA NI HATARIWachekeshaji wa Bongo mpaka sasa muchwale. Naamini watu watakuwa wanamsubiria Teacher Mpamire....mpawhat?
Labda Katarina asituangushe
MPA WHAT?Namsubiri teacher Mpamire
MpamireMPA WHAT?