Nishaurini wakuu maamuzi yapi yatakuwa sahihi?

aliekatakamba humutuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
1,405
Reaction score
2,357
Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo

Tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70

Tajiri achukue 70 dogo achukue 30 kwenye faida itakayo patikana kila mwezi halafu kodi na gharama za ofisi kwenye ile asilimia 70 ya bosi ndio itagaramia

Kuhusu kukaaa dukani dogo ndieambae atakaa kila siku tajiri atakuja siku za hesabu na kuagiza mizigo tu

Mnamshauri nini hapo wakuu kwa uzoefu wenu?
 
tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70

tajiri achukue 70 dogo achukue 30 kwenye faida itakayo patikana kila mwezi halafu kodi na gharama za ofisi kwenye ile asilimia 70 ya bosi ndio itagaramia

kuhusu kukaaa dukani dogo ndieambae atakaa kila siku tajiri atakuja siku za hesabu na kuagiza mizigo tu

mnamshauri nini hapo wakuu kwa uzoefu wenu?
Na huyo mjomba wangu ni wewe
 
Mimi namshauri akubali, lakini waweke makubaliano kwa maandishi. Kwanza wafafanue vizuri maana ya faida, gharama na hesabu za kila mwezi. Pia wajue duka likiwa na hasara inakuwaje. Asisahau kuwa yeye ndiye atakayekaa dukani kila siku, hivyo hiyo 30% iwe na maana kulingana na mchango wake. 🤝
 
sawa nishauri mkuu
Machaguo ni mawili. Kukubali au kukataa.

Ukikubali inamaana kuwa utakuwa muuza duka na sio winga tena.Hutokuwa huru tena.Ukishauza duka utahitaji winga mwengine.Uwezokano wa kuyumba kiuchumi upo .

Ukikataa...unaendelea kuwa winga hata kupata wateja zaidi. Unakuwa unajitegemea hata boss akikuzingua. Uwezekano wa kufungua duka lako ni mkubwa.

Nakushauri kataa.Boss wako anafikiria kukudhibiti ili usije ukawatumikia wengine.
 
Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo

Tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70

Tajiri achukue 70 dogo achukue 30 kwenye faida itakayo patikana kila mwezi halafu kodi na gharama za ofisi kwenye ile asilimia 70 ya bosi ndio itagaramia

Kuhusu kukaaa dukani dogo ndieambae atakaa kila siku tajiri atakuja siku za hesabu na kuagiza mizigo tu

Mnamshauri nini hapo wakuu kwa uzoefu wenu?
Young man kama umeshindwa kujiweka tu kwenye huo uhusika unananza kutuzuga na habari ya mjomba wako,wewe ni lofa!!!

Nikufundishe kitu next time usije ukaanza kuumiza kichwa kwa vitu vidogo vya kutumia akili badala ya hisia na tamaa.

📌📌Nafsi yako tayari inajibu na hilo ndio jibu sahihi na mujarab!!!

Penda kusikiliza nafsi yako, never ever underestimate the power you have within!!!

Tuliza akili acha tamaa sikiliza sauti ya ndani ya nafsi yako.Utapoteza hata hicho kidogo ulichonacho.

KENGE WAHED,GADEMIT!!!

#YBWYB!
 
Mimi ni engineer wa majengo mkuu
 
Machaguo ni mawili. Kukubali au kukataa.

Ukikubali inamaana kuwa utakuwa muuza duka na sio winga tena.Hutokuwa huru tena.Ukishauza duka utahitaji winga mwengine.Uwezokano wa kuyumba kiuchumi upo .

Ukikataa...unaendelea kuwa winga hata kupata wateja zaidi. Unakuwa unajitegemea hata boss akikuzingua. Uwezekano wa kufungua duka lako ni mkubwa.

Nakushauri kataa.Boss wako anafikiria kukudhibiti ili usije ukawatumikia wengine.
asante kwa kumshauri mwanangu
 
Back
Top Bottom