sasa hivi tutaambiwa wamepiga pass 600 kwa 200
wafungue watu waingie mkuu..fungukeni milani mpira upendeze, acheni kubana kama mko ugenini!
ndo maana unaambiwa ndio timu inayoongoza kwa kupoteza muda uwanjani angalia na pasi zao milan wako juu kwa goal attempt kuliko wao bana..Jamaa wanaboa na pasi zao, wanaweza wakapiga pasi hata dk 7 without a single attempt on or off goal
hivi alves ni beki namba 2 au winger?
fungukeni milani mpira upendeze, acheni kubana kama mko ugenini!
hivi alves ni beki namba 2 au winger?
hivi alves ni beki namba 2 au winger?
milan is anti-football, packing the bus like maurinho's teams!