Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Wadau wa Maktaba,
Mnakaribishwa kutembelea Maktaba yetu ya Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 1/9/2016 - 8/9/2016 ambapo kutakuwa na week ya kujisomea. Tuta-exhibit (onesha) vitabu mbalimbali, majarida, na magazeti ya kipindi cha nyuma mpaka sasa.
Je, ulishawah kusoma vitabu kama: Pesa zako zinanuka, Tutarudi na Roho zetu, Zawadi ya Ushindi n.k vipi kuhusu vitabu vya Mwl Nyerere, Katiba n.k
Karibuni sana....