Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,675
- 59,775
Mmeanza😅😅😅😅Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0....
Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0...
Duuuh !Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Mmeanza😅😅😅😅
Hapa nimepitiwaMHE. PROF. ADOLF. F. MKENDA - Jimbo la Rombo Kilimanjaro
Kilimanjaro yupo Adolf Mkenda (Elimu)Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Mama D, ni analysis tu za kawaida, usiwe na wasiwasi 🤣🤣Mmeanza😅😅😅😅
Waziri gani alitoka Shinyanga?MtangulIzi wake ilikuwa Kanda Moja tu, tena mikoa minne.
Mwanza,Simiyu,Shinyanga na Geita
Mkenda sio wa Kilimanjaro?Rukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Njombe mnaye Waziri?!Mkenda sio wa Kilimanjaro?
Weka ushahidi hapaMtangulIzi wake ilikuwa Kanda Moja tu, tena mikoa minne.
Mwanza,Simiyu,Shinyanga na Geita
Kilimanjaro si ndio mkendaRukwa 0
Katavi 0
Arusha 0
Kilimanjaro 0
Manyara 0
Simiyu 0
Shinyanga 0
Mbeya 0
Songwe 0
Kazi iendelee.
Labda angesema Dar es salaam.Kilimanjaro si ndio mkenda
Arusha yupo Angela kariuk
USSR
Kairuki mpare wa Same hukoKilimanjaro si ndio mkenda
Arusha yupo Angela kariuk
USSR
Prof. kitila Mkumbo uwezo wake mdogo?Dar tuliletewa wabunge wenye uwezo mdogo... Kilichotokea...