Litambue Baraza la Mawaziri mwaka 2023 na Majimbo yao

Hapana sio kweli
Kuna mikoa imepata mawaziri kamili watatu,mfano Pwani

Na kama haitoshi Pwani ipata pia Naibu Waziri,this is insane.

Rais anatakiwa a balance hizi nafasi,mkiwa na mawaziri wengi na kama wana akili mkoa unapiga hatua haraka
Hizi habari za 50/50 ni mbaya
Wote ni wa Tz tuweke watu wanaofanya kazi sio watu waliotokea mikoa fulan
Kama mkoa wenu mmechagua vilaza kama Dar bas kazi mnayo

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom