Kwani wanamnyima chakula?Vipi leo hajalilia chakula?
Sasa muhalifu kama yeye anaestahili kunyongwa chakula apewe cha kazi ganiKwani wanamnyima chakula?
Mnakodi watu wanakuja kupga mwano mahakamani?
Bado akili hazijawakaa vizuri
We unadhani wale majaji waliwahi kuona vilio vingapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mhe. Lissu: Wewe sio mtaalamu wa Chochote ndio maana ni Koplo wa polisi. Ungekuwa mtaalamu usingekuwa Koplo
Sasa muhalifu kama yeye anaestahili kunyongwa chakula apewe cha kazi gani
Hayo maigizo peleka tecdema hukoYawezekana na wewe utakuwa Polisi, maana hiyo ndiyo kazi ya wote wasio na akili.
Yawezekana na wewe utakuwa Polisi, maana hiyo ndiyo kazi ya wote wasio na akili.
Hahahaha😂Mhe. Lissu: Wewe sio mtaalamu wa Chochote ndio maana ni Koplo wa polisi. Ungekuwa mtaalamu usingekuwa Koplo
Nataka niwe polisi ili nikikutana na nyumbu kama nyie niwachape risasi kama mlivyochapwa Oct 29Kumbe Lucha na wewe ni polisi!! Kuwa polisi ndiyo kipimo kizuri cha kuthibitisha ukosefu wa akili.
Muhaini Lissu kabanwa mahakamani hadi akaanza kulilia chakulaMnakodi watu wanakuja kupga mwano mahakamani?
Bado akili hazijawakaa vizuri
We unadhani wale majaji waliwahi kuona vilio vingapi?
Ni dhahiri hii kazi uliyopewa ya kuja kuokoa jahazi huku JF ili uendelee kupata makombo sasa imekuwa ngumu sana kwako. Na bado, huu ni mwanzo tu!Muhaini Lissu kabanwa mahakamani hadi akaanza kulilia chakula
Yaani ata unavyoandika inaonekana elimu yako ni ndogo tu. Jamani wanajamvi naombeni msimjibu chochote huyuSasa muhalifu kama yeye anaestahili kunyongwa chakula apewe cha kazi gani
Mimi na wewe nani ana elimu ndogo?Yaani ata unavyoandika inaonekana elimu yako ni ndogo tu. Jamani wanajamvi naombeni msimjibu chochote huyu
Nikikujibu nitaonekana na mimi ni kama wewe. Thank youMimi na wewe nani ana elimu ndogo?
Unaandika "ata" badala ya "hata"
Unaweka nukta katikati ya sentensi na mwisho wa sentensi huweki nukta, kati yangu mimi na wewe nani elimu yake ndogo?
Nyumbu we.