List za wanafunzi hewa: Wakuu wa chuo na wahasibu wanaendeleaje kubaki vyuoni??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,204
Nimekaa nikajiuliza sana

Kama tunaendelea NA walewale dean of students ..wakuuu wa vyuo NA wahasibu walewale ambao wamepitisha wanafunzi hewa.MNS NA wametoa resit za wanafunzi hewa serikali ikaingia hasara

Hamwoni amuwatendei haki wananchi kama NA wakati uu mkaendelea kudeal NA wahasibu wale wale wa vyuo NA wakuu walewale wa chuo waliotia saini list ya wanafunzi hewa wakishirikiana NA dean of students


Tufike wakati hawa n majipu NA tukiweza warudishwe wizarani kuwahamishia udom kutoka udsm AMA udsm kwenda sua amjafanya kitu wizi watakaofanya n ulelule

Mh WAZIRI , LIANGALIENI HILI.....
 
Aisee jitahidi kutochanganya herufi kubwa na ndogo katikati ya habari,inaboa sana hata kama ujumbe wako ni mzuri inatia uvivu na 'kinyaa'kuusoma.
 
Hao wanafunzi ni wale waliodisco na kuacha chuo. Kazi ya chuo ni kupeleka matokeo na taarifa za mwanafunzi bodi ya mikopo. Kama taarifa za mwanafunzi azijafika uyo mwanafunzi atakiwi kupewa mkopo. Hapo ndio sehemu bodi ya mikopo inapopiga hela. Tatizo sio chuo,tatizo ni bodi ya mkopo.
 
Hivi ela za wanafunzi toka kwenye bodi zinapitia vyuoni?
Na kama zinapitia vyuoni hao 'hewa' wamo kwenye list au ni list ya bodi tu ndio imewagushi?
Maana kwa uelewa wangu malipo ufanywa kwenye benki (hayo ya allowances) labda sasa hizo ada hewa...
 
Back
Top Bottom