Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Inashangaza kuendelea kupiga kelele za wanafunzi hewa huku KUNA WATU wameidhinisha hizo hewa
Nashangaa kuona mhasibu wa vyuoo husika anaendelea kazini kwakweli inashangaza sana NA kuuma......
M ninakamshangaoo fulaniii ndipoo nikaogopa sana hiivi vyuoo wapendwa kikubwa kabisa hapa dar...mdogowangu mmoja tulikuwa tunamlipia sasa malipo Fulani ya laki NNE nanusu tuliyafanya...wakati wanamaliza ikaonekana iko NA gap....
Kwa bahati mbaya nikaitafuta sana Sana'a..kiukweli sikuipata NA anatakiwa Ku graduate...tukatoa nyingine
Baadae nikaipataa...ilaa KUNA vitu vilinishtuaa...nilipofika namweleza mhasibu akaanza kujichanganya badae naomba niwasiliane NA it..nkamwambia we so umeandika -450"000 sasa HII resit yangu nimelipa miezi minne NA statement inaonyesha sijalipa MPAKA nikalipa upya nikaonyesha resit nyingine..akaanza hili n tatizo la it njookesho tutakueleza jinsi yakufanya upte hela zako
Kha...
Hizi dilii NA it wachunguzwe wooote waondokee Hawa ndioo wanaonyesha malipo yamefanyika ...
Wasibaki wahasibu wowote
Khe Amnaa haya nakodi za mamakasekela