kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,826
Uwendi mbinguniTusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
