Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,974
Wadau MMU.
Leo nimeona tushare historia zetu za mahusiano,je wewe mpaka unafika umri huo umesha do na watu wangapi na makabila mangapi hata Tz na nje ya Tz?
Mimi naanza
Idadi ya wasichana/wanawake kama 10 hivi
Makabila:
Mndengereko wa Miwaga,Rufiji,Mngindo wa Mahenge,Mpare wa Same,Mmeru wa Arumeru,Mchaga wa Kindi,Moshi,Mnyaturu wa Singida,Msukuma wa Mwanza na sasa nimeoa Mmeru wa Arumeru.
Hayo yote yametokana na ile hali ya ujana na kutamani kuonja onja ile sasa nimetila kwenye ndoa nimeoa na nina
watoto.
Note: Nimepima na niko salama na umri wangu 30+
Hebu tupia uzoefu wako hapa na ukiri kuacha michepuko rasmi.
Nawasilisha.