List ya madem inanitesa

List ya madem inanitesa

Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini bado haniamini. Hali hiyo imedumu kwa miaka mingi sana mpaka naona nimefika mwisho siwezi ivumilia. Issue inaanzania mbali kidogo, wakati bado sijamuoa aliwahi kunikuta na daftari la mshikaji wangu ambaye miandiko yetu inafanana. Hilo daftari jamaa alikuwa kaorodhesha mademu wote aliotembea nao. Sasa kulikuwa na column tatu NAMBA, JINA, na HALI. kwa mfano: NAMBA 1, JINA: Jenifa Kalalu, HALI: tight. Sasa idadi ilikuwa inafika 94 mpaka wakati huo. Wife anaamini list ilikuwa yangu, na kwenye list hiyo kulikuwa na majina ya watu wa karibu yake. Kila tukigombana ananitusi kuwa mie malaya sana na anauliza kuwa list yangu wamefika wangapi. Sasa mi naumia sana!! Ishu ya miaka kama 10 iliyopita halafu sio daftari langu lakini anafanya ndio reference kila tunapokwaruzana. Sasa sijui hata nimfanyeje??

Duu duniani kuna mambo why keep the list ? Kaa chini ongea na Mkeo kwamba hata kama list ni yako that was back then now you with her and her alone na mweleze katika list yako she was the best above all ndio maana ukamchagua awe mkeo,she better trust you or else atembee mbele maana kundelea kukutuhumu kwa mambo ya miaka kumi iliyopita haina maana na bado anaendelea kuishi na wewe. BTW kwani ye ulimkuta bikra ?
 
Ivi kumbe idadi inaweza kufikia mpaka tisini naa,,du!!
Kwani hilo daftari halikua na jina la rafiki yako,,ongea na huyo mwenye daftari kwenye simu ukiwa na mkeo uweke loud spiker halaf unazungumza nae kama utani kumkumbushishia orodha yake ili mke wako aamini haikua yako
 
Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini bado haniamini. Hali hiyo imedumu kwa miaka mingi sana mpaka naona nimefika mwisho siwezi ivumilia. Issue inaanzania mbali kidogo, wakati bado sijamuoa aliwahi kunikuta na daftari la mshikaji wangu ambaye miandiko yetu inafanana. Hilo daftari jamaa alikuwa kaorodhesha mademu wote aliotembea nao. Sasa kulikuwa na column tatu NAMBA, JINA, na HALI. kwa mfano: NAMBA 1, JINA: Jenifa Kalalu, HALI: tight. Sasa idadi ilikuwa inafika 94 mpaka wakati huo. Wife anaamini list ilikuwa yangu, na kwenye list hiyo kulikuwa na majina ya watu wa karibu yake. Kila tukigombana ananitusi kuwa mie malaya sana na anauliza kuwa list yangu wamefika wangapi. Sasa mi naumia sana!! Ishu ya miaka kama 10 iliyopita halafu sio daftari langu lakini anafanya ndio reference kila tunapokwaruzana. Sasa sijui hata nimfanyeje??
huyo ana matatizo, anapaswa akuombee, hiyo list ni fupi sana kwa watoto wa Bongo wanavyopenda wallet unaweza ukapiga zaidi ya 300 kwa mwaka moja, kwa sababu kwa Bongo kwa sasa tathmini ya haraka haraka kuna uwezekano siku moja mtu anaonana na watu wawili akiamua, kwa hiyo naona huyu mkeo anapaswa kukuombea tu kwani yaliyopita si ndwele mgange yajayo na yajae.
 
pole jaribu kumuoneshea upendo wa kweli na uwe karibu naye na ujitahidi kuwai nyumbani hizo fikra anaweza kusahau kabisa na epuka kumhudhi ili usikutane na hiyo hadha usiyo ipenda
 
Alikuwa anacopy notisi akapesti kwenye matendo

Hakuna burudani kama kula brain wakati wa kuzaliwa ukabaki na spinal cord tu
Yaani kati kati ya shida wewe ndio unaponda starehe

Daftari! Umenikunbusha mbali sana. Mwandiko wako bado unafanana na wa rafiki yako? Sasa na wewe hadi unakutwa na 'daftari' (kama hautojali, lilikuwa la mistari midogo na mikubwa? Ama la viboksi?), ulikuwa unaangalia nani ana yenye hali gani ili na wewe ukatongoze ama ulikuwa unacopy notes?
 
Hana kazi za kufanya? maana angekuwa na kazi bussy asingepata muda wa kufikilia vitu kama hivyo......akili yake bado ipo nyuma kitambo...pole lakini ndio ndoa zetu zilivyo
 
Ivi kumbe idadi inaweza kufikia mpaka tisini naa,,du!!
Kwani hilo daftari halikua na jina la rafiki yako,,ongea na huyo mwenye daftari kwenye simu ukiwa na mkeo uweke loud spiker halaf unazungumza nae kama utani kumkumbushishia orodha yake ili mke wako aamini haikua yako

Problem ni kwamba huyo friend ni adui namba moja wa wife hapa duniani. Kuna issue alimfanyia anasema haji msamehe kamwe na akisikia kwamba nilikuwa naye siku hiyo unyumba hakuna.
 
huyo ana matatizo, anapaswa akuombee, hiyo list ni fupi sana kwa watoto wa Bongo wanavyopenda wallet unaweza ukapiga zaidi ya 300 kwa mwaka moja, kwa sababu kwa Bongo kwa sasa tathmini ya haraka haraka kuna uwezekano siku moja mtu anaonana na watu wawili akiamua, kwa hiyo naona huyu mkeo anapaswa kukuombea tu kwani yaliyopita si ndwele mgange yajayo na yajae.

Kuna jamaa mmoja namfahamu ana mke na nyumba ndogo lakini kwa siku anaweza kupiga hawa wa kuokoteza fasta fasta hata watatu!!! sex drive ya juu sana hii!!!
 
mpeleke huyo rafiki yako kwa mkeo ili akiri kwamba ile list aliyoiona ni yake, failure to do that hiyo list ni mali yako na mkeo ana haki ya kutokukuamini
 
We BJ mchokozi. Mbona ni 94 tu?

Mmh!! yaani 94 wote hao? anajaza dar express mbili kama sikosei!! hebu ninong'oneze idadi ya wako, simwambii mtu..ha ha

Upo sawia mkuu. Huenda na yeye ana list yake kwa rafiki yake.

kabisaa kamanda. miandiko ifanane halafu marafiki, mhh!! labda walibadilishana list!!
 
Mmh!! yaani 94 wote hao? anajaza dar express mbili kama sikosei!! hebu ninong'oneze idadi ya wako, simwambii mtu..ha ha

Kwa kuwa umesema humwambii mtu basi haina shaka. Wa kwangu ni kama behewa mbili za Mwakyembe, sio wengi kama hao wa jamaa
 
dnt ever xpect jf to loss its flavor, it has very new events for every 60 seconds
 
Kwa kuwa umesema humwambii mtu basi haina shaka. Wa kwangu ni kama behewa mbili za Mwakyembe, sio wengi kama hao wa jamaa

Nakuogopa kwakweli, duuh wote hao!! nilidhani wanajaa dar express kumbe ni behewa mbili, kasi yako hatari.
Onyo: Usiandike list ya hao ''wadau'' maana mamsapu akiona atachanganyikiwa!!
 
Mtafute huyo mwenya daftari,aje atatue huo mzozo,zaseme mbele ya mkeo kuwa daftari hilo ni lake:glasses-nerdy:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom