List ya beach nzuri DSM

Ni kweli kuna tatizo pale hata mimi limenitokea, nilichukuwa room pale booking nilifanya online, siku ambayo nilikuwa nacheck out nikapewa bila ya breakfast nilipe kwamba cash niliyolipa ilikuwa ni for bed tu.

Huwa nakasilika sana mtu anaponiona mimi sina akili kiasi cha kushindwa kujuwa nilifanya booking ya aina gani na ili kuondowa makandokando siku niliyocheck in nikalipa cash money, siku nacheck out unanidai bill za kipuuzi, wameshindwa kujiuliza kitu kidogo tu ni kwa nini siku zote nilizokaa pale nisidaiwe lunch au dinner? Ni kwa nini deni nidaiwe breakfast?

Watanzania tubadilike sana otherwise kwenye kazi zinazohitaji seriousness tutakuwa tunapigwa chini tu.
 
Wanajishushia sn heshima. Hotel nzr lkn makandokando kibao mpk kunakuw km uswazi.
 
Kweli kabisa mkuu ilishawai kunikuta hiyo ila nikafanikiwa kupangua..
 
Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
Protea amani Beach kigamboni
 
Je hiyo ni kubakwa au amekubali mwenyewe, kwa mtazamo wangu mimi naona kama katoa rushwa lsijui wengine.
 
Je hiyo ni kubakwa au amekubali mwenyewe, kwa mtazamo wangu mimi naona kama katoa rushwa lsijui wengine.

Kama yangekuwa ni makubaliano si wangekubaliana tangu nchi kavu....lakini kitendo cha kumpeleka kwenye maji mengi huku akitishia kumuacha hapo kama hatakubali kutoa anachotaka....huo ni ubakajivkama ulivyo ubakaji mwingine......
 
Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
Umeuliza swali nzuri sana, kweli Id yako na swali lako linaonyesha umedhamiria kuwatafuta. Mshirikishe na yule rafiki yako anayependa kukesha kwenye disco za uswahilini.
 
Sema akija Mikadi Beach Ajiandae kwa kabari
Bora aelekea chadibwa, kipepeo, southbeach na hata hapa sunrise nipazuri tu
mkuu nipe location ya hzo bichi
 
Coco dahhh,..yale maji bora mtu utizame tu na si kuogelea
Been to a few places ila try Mbudya nilipapenda sana, waters are sooo clean na ni kakisiwa pamejitenga hivii bas pana utulivu wa aina yake
Mida waweza kwenda frm sa 4 hadi 12
Js make sure unawahi kurudi kabla giza halijazama
And always put on a life jacket ukiwa kwny viboti vile
Nasubiria joto likolee nijiloweke kwenye maji kila weekend
 
Mkuu mwezi uliopita nilipeleka wadogo Zangu pale swimming walisema kiingilio Kwa kichwa 40,000/= na vinywaji viwili tu ishu ya buffer haikuwepo!ikabidi niwa achie Na hela ya kutumia
Khaaah ndo man nilisem mtu awe making niwaongo kwnz pia watoto ni nusu ya bei akiw chini ya 5yrs ni bure. Kila kukicha wanataratib mpya wizi juu ukiongea mpk na viongoz wao kauli gongana na wahudumu.dai receipt uone wanavyojizungush[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…