List ya beach nzuri DSM

Wakuu mbona bado mnataja bei za kuingilia Ramada na viunga jirani? Kwani mleta uzi si anataka kuogelea baharini? Na vipi lile agizo la wananchi wote kuingia bure kwenye fukwe zooote? Agizo limesitishwa?
Au lile agizo nalo limehamia Dodoma?
Jifunze kusoma na kuelewa, ukisoma na kuelewa walichoandika wenzako itakusaidia kutoandika kitu usicho na ufahamu nacho.
 
Sema akija Mikadi Beach Ajiandae kwa kabari
Bora aelekea chadibwa, kipepeo, southbeach na hata hapa sunrise nipazuri tu
 
Jifunze kusoma na kuelewa, ukisoma na kuelewa walichoandika wenzako itakusaidia kutoandika kitu usicho na ufahamu nacho.
Watu wengine lengo lao kuongezeana uvivu tu na usingizi.
Sasa mkuu kama umegundua kuna makosa ya uelewa,ingekugharimu kias gani kunielewesha? Au basi tu uonekane much know?
 
Watu wengine lengo lao kuongezeana uvivu tu na usingizi.
Sasa mkuu kama umegundua kuna makosa ya uelewa,ingekugharimu kias gani kunielewesha? Au basi tu uonekane much know?
Nyinyi ndio hasa mnahitaji ubatizo wa moto.
 
Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
khaaaaaaaa.......duh coco beach nayo ni beach nzuri? kiruuuu
 
Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
Ndege beach-mbweni
 
akishindwa basi aende white elfu arobaini au ramada fifty
Ila kuwa makin Ramada nilikuw mteja mzr sn lkn wakaanza njaa zao mhudumu au cashier anakufuata anakwambia udanganye kuwa umelala pale umlipe kwa siri huku anakutolea macho Kama police aisee niliwashusha viwango sn. Niliwatimua na ckuwa ht na mpango na receipt nikaanz kudai zoote kuanzia lunch hawana wanarushiana mipira mpk nikaondoka. Tamaa zakijinga sn.
 
mimi hiyo ramada sijawahi hata kuingia naskia tu washkaji, napapita hapo naenda whitesands ndo napopakubali, sijui kwanini, naenda kwenye gati nashuka naogelea nikitosheka napanda napata upepo nasepa
 
Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.

Kwanza Coco Beach sio beach nzuri kwa kuogelea dada ni nzuri kwa kupunga upepo na kuuza sura tu, washamba ndio wanaogelea pale, wazawa walaa
 
Jaribu visiwa vya Mbudya na Bongoyo pia. Japo sijafika muda mrefu, nakumbuka palikuwa na maji masafi ya kuogelea na fukwe safi pia.
 
We utakua mkongwe wa mikadi beach Kigamboni aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…