USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA
2. Fatma Karume, babu rais, baba mdogo rais pia ana baba mkubwa waziri kwa awamu kibao. Amekulia ikulu hajui hata kuishiwa; hajui shida nini, hajawahi kukosa chakula, hajawahi kuhangaika kuhaso na maisha. Akikwambia lockdown ni njia bora temea mate chini uondoke. UTAKUFA KWA NJAA NDANI KWAKO
3. Zito Kabwe, yeye ana mihula mitatu bungeni anakula pesa na kiinua mgongo, hajui dhiki kwa sasa japo ameipitia. Amesahu amekengeuka hajui shida. Ameshiba anachofikiria ni siasa. Leo wewe na yeye mkikaa ndani, yeye anakuwa kama yupo peponi anatuombea tuwekwe lockdown, hatupendi. UKIMUIGA UTAFIA NDANI, OGOPA.
4. WABUNGE, soon Bunge litavunjwa watakula zaidi ya mil 200 plus na bado wana mshahara wa zaid 9 milioni kwa mwezi; hata wakikaa ndani nao wanomba lockdown halafu kuna watu hawajui hata kesho wale nini wanaunga mkono, very poor. MTAKUFA NYIE, PIGENI KAZI.
U.S.A taifa kubwa leo watu wako mtaani hawataki kuwekwa ndani maisha magumu uchumi wa familia unakufa, wewe Mtanzania unalilia lockdown.
Ujerumani pamoja na kuwa ndio taifa lenye uchumi bora ulaya watu wamegoma licha ya kuwa na kesi zaidi yetu wameruhusu kurejea makazini.
Italy, Spain, Japan, Bolivia. Indian. Pakistan. na n.k wameanza kuruhusu watu kutoka maana hali si hali. Wewe Mtanzania mwenzangu kibarua cha siku ndio ule unawaiga wanasiasa. UTAKUFA KWA NJAA, TOKA KAPIGE KAZI.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app