List: Wanaotaka lockdown, tusijilinganishe nao

List: Wanaotaka lockdown, tusijilinganishe nao

Apo kwenye ujerumani nikurekebishe kaka.
Watu walikaa lock down kwa siki 42...
Ulaya mpaka sasa hakuna nchi iliyofanikiwa kupunguza maambukizi asilimia kubwa kama ujerumani?
Hawa wameweza... na walipoona wamepungua ndio wakaruhusu watu watoke lakin kwa masharti makali sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
Amepunguza case lakini bado zipo tena kuliko sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza sana! Yaani wapinzani wanasahau kabisa kule yetu ipo nje!!!!! Lazima utoke ndo upate kula!!! Yaani nimeamini ndio maana wakaitwa wapinzani,,,,,,,
Yaani ninachojua kibongobongo lockdown itakuja kuongeza majanga zaidi ya hili tulilonalo,,,,
Maana mahabusu zitakuwa mara dufu mtu hataweza kukubali kufa ndani kwa njaa wakati snajua akitoka anaweza kupata nafuu......
Kwahlo kwa nchi yetu hatujafikia huko hata kama itakuwa siku moja haitawezrkana maana kuka ya mchana lazima uamuke asubuhi ukaitafute ili!!
Kwahyo hii siku ukijiitahidi utapata uji tu asubuh harafu mchana na usiku itakupibi vipite kama gari la mwendo kasi!
Ila zakuambiwa changanya na zako!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawapinzani wa hovyo taifa hili sijawahi kuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WANASIASA WETU ASILIMIA KUBWA HAWANA AJENDA, MISINGI NA MIPANGO ENDELEVU ISIPOKUWA MATUKIO NA MIHEMKO YA WANANCHI KWA NYAKATI HUSIKA!

MSINGI MKUBWA WA WANASIASA NA WATAWALA WETU NI UWEZO MDOGO WA WANANCHI WA KUCHANGANUO MAMBO NA KUMBUKUMBU FUPI VICHWANI MWAO!
Wanasiasa wa kitanzania hawana msaada wanajari matumbo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawapinzani wa hovyosana sisi kupenda kuiga mabaya
Pengine utawasifia wakenya wanaozuia watu kwenda nairobi na mombasa ambayo utasema sio total lockdown, lakini wagonjwa wanaongezekana vifo vinaongezeka sasa faida yake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuanzia embutuwekee hapa ushahidi wa Mbowe kutaka lockdown na ushahidi kuwa ni bilionea mbali nahapo tutajadili umbea kama wamama wa uswahilini...
Ni upumbavu kushabikia jambo usilo na uhakika nalo mbele ya halaiki ya wasomi huku jf!
Sijui unaishi nchi gani hadi unauliza ujinga hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We'll said kuvumilia lockdown bila kufanya kazi hakuna anayeweza
USSR, you are very right!

Mimi binafsi pia siungi mkono lockdown. Mie binafsi nikilockiwa siku tano tu nakufa njaa, achilia mbali relative dependants waliopo mgongoni mwangu.

Watanzania tulio wengi ni low class life. Most Tanzanians are working 'from hand to mouth' with no surplus of tomorrow. Wengi tunasurvive kwa deiwaka jobs. Huu ndiyo uhalisia!!

Imposing LOCKDOWN kwa nchi hii, ni kuimpose DEATH SETENCE to the poor ambao ndiyo the majority population.

Mimi nadhani watu wazingatie preventive measures on highest alert level, na mwenye uwezo financially kujilockdown afanye hivyo yeye na familia yake on individual capacity.

-Kaveli-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1919 kulikuwa na lockdown kwenye spanish flu na hao wahenga wetu waliweza kulockdown sasa miaka zaidi mia mnasema humuwezi kulockdown kwanini? Inamaana nyie ni wajinga sana kuliko mababu wetu walioishi miaka mia moja iliyopita? Tunafundishwa kwamba lockdown yao ilifanywa hivi MAKULI wote walipiga kambi ukouko kazini na usafiri wa kwenda mikoani ulifungwa, ni mizigo tu ya mazao ya vyakula na biashara ndo ilikubaliwa kusafirishwa.
 
1. Freeman Mbowe ni mtoto wa tajiri na leo ni bilionea. Tangu utoto haijui shida hajui kuishiwa hajui kukosa ada hajui kutembea na vyeti kutafuta kazi. Anaweza kuamua hata kesho akae ndani miaka na bado afurahie maisha; sio wa kujilinganisha naye. Ukiona anambea lockdown nje ya eneo la Bunge jua kashiba; shibe ni mwanamalevya .USIMUIGE UTAKUFA NJAA

2. Fatma Karume, babu rais, baba mdogo rais pia ana baba mkubwa waziri kwa awamu kibao. Amekulia ikulu hajui hata kuishiwa; hajui shida nini, hajawahi kukosa chakula, hajawahi kuhangaika kuhaso na maisha. Akikwambia lockdown ni njia bora temea mate chini uondoke. UTAKUFA KWA NJAA NDANI KWAKO

3. Zito Kabwe, yeye ana mihula mitatu bungeni anakula pesa na kiinua mgongo, hajui dhiki kwa sasa japo ameipitia. Amesahu amekengeuka hajui shida. Ameshiba anachofikiria ni siasa. Leo wewe na yeye mkikaa ndani, yeye anakuwa kama yupo peponi anatuombea tuwekwe lockdown, hatupendi. UKIMUIGA UTAFIA NDANI, OGOPA.

4. WABUNGE, soon Bunge litavunjwa watakula zaidi ya mil 200 plus na bado wana mshahara wa zaid 9 milioni kwa mwezi; hata wakikaa ndani nao wanomba lockdown halafu kuna watu hawajui hata kesho wale nini wanaunga mkono, very poor. MTAKUFA NYIE, PIGENI KAZI.

U.S.A taifa kubwa leo watu wako mtaani hawataki kuwekwa ndani maisha magumu uchumi wa familia unakufa, wewe Mtanzania unalilia lockdown.

Ujerumani pamoja na kuwa ndio taifa lenye uchumi bora ulaya watu wamegoma licha ya kuwa na kesi zaidi yetu wameruhusu kurejea makazini.

Italy, Spain, Japan, Bolivia. Indian. Pakistan. na n.k wameanza kuruhusu watu kutoka maana hali si hali. Wewe Mtanzania mwenzangu kibarua cha siku ndio ule unawaiga wanasiasa. UTAKUFA KWA NJAA, TOKA KAPIGE KAZI.

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliosema yana ukweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaliotoka bungeni kuna bar?
Wetu wengine bana nani kakwambia anataka total lockdown ?

Watu wanashauri angalau kuwe na restriction kwa baadi ya biashara ilikuepusha misongama isiyo ya lazima

Kwa mfano leo hii shule zimefungwa baadhi ya waalimu wanamaisha wanaishi katika hali ngumu na maisha yanaendelea katika ugumu ugumu huohuo

Sasa unafungia shule halafu unaacha baa na club wazi usiku kucha ndio utakua umefanya Nini sasa si nisawa bure tu

Umeepusha mwanafunzi asipate korona shule akaileta Nyumbani lakini umeruhusu Baba au Mama akuchukue Corona Baa, Msikiti au Kanisani akamletea mwanafunzi huyohuyo nyumbani

Yaani ni kama umeruka MKOJO umekanyaga MAVI ... Kuna ulazima gani wa kuacha baa na sehemu za mikusanyoko ziendelee wakati umefungia shule???

Ilitakiwa kurestrict baadhi ya shughuli kwa muda maalum kutokana na ulazima wake kwa mfano ibada inaweza kufanywa hata nyumbani sio lazima Kanisani au Msikitini

Kuna baadhi ya shughili zina njia mbadala wa utekelezaji wake na zile zisizo na njia mbadala ziwekewe utaratibu ili mradi kuepusha mpishano na msongamano usio wa lazima

Booogas kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1919 kulikuwa na lockdown kwenye spanish flu na hao wahenga wetu waliweza kulockdown sasa miaka zaidi mia mnasema humuwezi kulockdown kwanini? Inamaana nyie ni wajinga sana kuliko mababu wetu walioishi miaka mia moja iliyopita? Tunafundishwa kwamba lockdown yao ilifanywa hivi MAKULI wote walipiga kambi ukouko kazini na usafiri wa kwenda mikoani ulifungwa, ni mizigo tu ya mazao ya vyakula na biashara ndo ilikubaliwa kusafirishwa.
Kipindi hicho Spain ilikuwa inatawala makoloni kibao ratin America wewe na tanzania yako mnakoloni ganj liwaletee kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lockdown sio rahiso kama baadhi wanavyotaka ionekane ila swala la watu kujazana bar, kuzurura bila sababu, mikusanyiko isiyo ya lazima tena bila kujikinga ni janga na ndio haswa litakalotumaliza.

I wish watu wangetumia common sense tu wakajitahidi kujilinda na kuepuka niliyoyataja hapo juu maana huku mtaani kunasikitisha sana.
Naunga mkono maoni yako. Lockdown, hapana. Lakini watu wakitoka nje wafuate maelekezo yatolewayo na wataalamu wa afya. Kusiwe na msongamano wa watu; watu wavae barakoa; wanawe mikono mara kwa mara; kuingia ofisini au supermarket mtu apimwe joto; n.k. Kwenye ibaada kusiwe kama ilivyoonekana Ijumaa kwenye msikiti wa Kariakoo. Sokoni pia kuwe na utaratibu wa kutosongamana. Kama tahadhari hizi zikifuatwa, bila shaka tutashinda.
 
kinachowasumbua nyinyi ni uelewa kuhusu lockdown au mmeamua kupotosha makusudi, labda mgeuliza lockdown ya namna gani?.

Kupiga karantini miji ili ugonjwa usisambae nchi nzima ni jambo la kawaida katika utabibu.

Hata kipindupindu kikipiga sana kwenye miji, miji hiyo hufungwa kuzuia watu wa miji mingine kuingia au watu wa mji ulioathirika kutoka.

Lockdown ina levels zake, tunaweza tusiwe na uwezo wa kuwafungia watu majumbani mwao lakini kufunga miji iliyoathirika zaidi hilo lilikuwa ndani ya uwezo wetu.

Sasa hivi korona inatafuna watu ile mbaya, huo uchumi unaoulilia hautawasaidia waliokufa kwa korona.

Serikali imeshindwa kulinda watu wake

Lengo la lockdown ni kucontain maambukizi baina ya watu..

Mkuu umewah jiuliza kwan nini China haikuishia kulock Wuhan kama mji ila ikaenda mbali zaidi kulock watu majumbani na kuzuia shughul za kibiashara..?

Kuwa na lockdown katika level ya mji lakn haiaddress lengo mama la lockdown ambalo ni kudhibiti maambukizi baina ya watu its nonsense..

Hizi lockdown za kulock miji kwa lengo la kuwatoa muhanga watu walio ndani ya mji husika kwa mtizamo wako unadhan ni fair na serikali ndio itahesabika imelinda watu wake.? Yah kufunga mji halafu unaruhusu watu waishi kawaida ni sawa na kuwatoa watu muhanga..!

Je, kama taifa can we afford gharama ya lockdown inayo address lengo mama la lockdown la kudhibiti watu wasiambukizane kama China.?

Achilia mbali sabb za kiuchumi.
 
Kila jambo linatumika kama mtaji wa kiasiasa ndio shida.
Ili mradi tu mtu apate cha kukosoa na kusema.
 
Back
Top Bottom