List: Wanaotaka lockdown, tusijilinganishe nao

List: Wanaotaka lockdown, tusijilinganishe nao

Upo sahihi kabisa na maelezo tosha
kinachowasumbua nyinyi ni uelewa kuhusu lockdown au mmeamua kupotosha makusudi, labda mgeuliza lockdown ya namna gani?.

Kupiga karantini miji ili ugonjwa usisambae nchi nzima ni jambo la kawaida katika utabibu.

Hata kipindupindu kikipiga sana kwenye miji, miji hiyo hufungwa kuzuia watu wa miji mingine kuingia au watu wa mji ulioathirika kutoka.

Lockdown ina levels zake, tunaweza tusiwe na uwezo wa kuwafungia watu majumbani mwao lakini kufunga miji iliyoathirika zaidi hilo lilikuwa ndani ya uwezo wetu.

Sasa hivi korona inatafuna watu ile mbaya, huo uchumi unaoulilia hautawasaidia waliokufa kwa korona.

Serikali imeshindwa kulinda watu wake

In God we Trust
 
Back
Top Bottom