List of shame yaondolewa kwenye tovuti ya CHADEMA

Ikumbukwe kuwa chadema ndiyo iliyoibua ufisadi wa Lowasa hadi kufikia hatua ya kumuweka kwenye list of shame na chadema hasa akina Yericko Nyerere waliendesha kampeni ya kataa fisadi Lowasa kwenda ikulu.

Mara baada ya Lowasa kuinunua chadema na kupewa nafasi ya kugombea urais ,viongozi wa chadema waliamua kuitoa ile list of shame kwenye tovuti ya chama na Tundu Lisu akaamuliwa kumsafisha Lowasa kwa kuwaambia watanzania kuwa chadema ilikosea kumuweka kwenye list of shame na kwamba Lowasa siyo fisadi na anafaa sana kuwa rais wa Tanzania!!

Naam baada ya Lowasa leo kurudi ccm ,basi viongozi wa chadema wairudishe ile list of shame na waanze waanze tena kuimba kuwa Lowasa ni fisadi namba moja Tanzania.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ndugu huwapendi hawa ndugu zetu, wakifanya hivyo si watakuwa wamejichinja wenyewe, itawaumiza kabisa na credibility yao itaanguka .

Dawa uliyobaki chadema ni chama , kufanya kikao muhimilu na kufanya maamuzi magumu sana tena sana.

Wafanye total revamping ya chadema, walete Damu Mpya kabisa, mbowe astaafu, Lissu nae kwenye hili kapoteza uaminifu wa chama, nae awe kiongozi wa kati tuu na asipewe fursa ya kupeperusha bendera.

Huu ni wakati wa ajina Mnyika, Salum na vijana wengine. Uongozi uondoke Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli uongo ni kipaji na muongo siku zote haachi asili!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Prof Lipumba anacheeeeeeekaaaa!

Maalim Seif alikuwa hawajui Wanasiasa wa Bongo
 
Ikumbukwe kuwa chadema ndiyo iliyoibua ufisadi wa Lowasa hadi kufikia hatua ya kumuweka kwenye list of shame na chadema hasa akina Yericko Nyerere waliendesha kampeni ya kataa fisadi Lowasa kwenda ikulu.

Mara baada ya Lowasa kuinunua chadema na kupewa nafasi ya kugombea urais ,viongozi wa chadema waliamua kuitoa ile list of shame kwenye tovuti ya chama na Tundu Lisu akaamuliwa kumsafisha Lowasa kwa kuwaambia watanzania kuwa chadema ilikosea kumuweka kwenye list of shame na kwamba Lowasa siyo fisadi na anafaa sana kuwa rais wa Tanzania!!

Naam baada ya Lowasa leo kurudi ccm ,basi viongozi wa chadema wairudishe ile list of shame na waanze waanze tena kuimba kuwa Lowasa ni fisadi namba moja Tanzania.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Waiweke muwaone mabwege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ndugu huwapendi hawa ndugu zetu, wakifanya hivyo si watakuwa wamejichinja wenyewe, itawaumiza kabisa na credibility yao itaanguka .

Dawa uliyobaki chadema ni chama , kufanya kikao muhimilu na kufanya maamuzi magumu sana tena sana.

Wafanye total revamping ya chadema, walete Damu Mpya kabisa, mbowe astaafu, Lissu nae kwenye hili kapoteza uaminifu wa chama, nae awe kiongozi wa kati tuu na asipewe fursa ya kupeperusha bendera.

Huu ni wakati wa ajina Mnyika, Salum na vijana wengine. Uongozi uondoke Kilimanjaro, Arusha na Manyara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuamini sana Salum Mwalimu labda Mnyika ndo nina imani naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True na waongezwe mafisadi wengine
Waongezwe na wakina jiwe
Jiwe aongezwe mara ngapi wakati tayari alikuwa kwenye orodha ya awali ya Dr. Slaa? Kwa ukumbusho orodha ilikuwa ni hii;
  1. Dk. Daudi Balali
  2. Basil Mramba
  3. Andrew Chenge
  4. Gray Mgonja
  5. Patrick Rutabanzibwa
  6. Nazir Karamagi
  7. Nimrod Mkono
  8. Rostam Aziz
  9. Edward Lowassa
  10. Benjamin Mkapa
  11. Jakaya Kikwete
  12. John Magufuli
  13. John Samwel Malecela
  14. Fredrick Sumaye
  15. Philip Mangula
 
Acha uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna chama nilikiamini kipindi cha Dr slaa ni Chadema. Kilifanya manunuzi makubwa ya fisadi mkubwa na kuizika agenda ya ufisadi badala yake kutembea na sabuni ya kusafisha . Nimiamua kuachana na siasa uchwara za njaa na wapiga dili.
Njaa mbaya sana Lisu alimkebehi Slaa kwa kumkataa Lowasa. Siajua hizi saa24 anakuja kwa gear gani ila HATUDANGANYIKI yeye aongee tukiwa kinya akimaliza ajue hatumkubali kabisaaaa tuko tayri kucomment positve kwake ila practically HATUMKUBALI labda arudi Slaa au atokee mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom