Raia Tanzania kuna maisha baada ya uchaguzi muelewe hivyo.
Wanahitaji tafsir mpya ya neno MAENDELEO.Mwenyekiti Mbowe alishasema siyo kila siku kuongelea ufisadi sasa wanaongelea maendeleo.
Kama huna cha kupost bora ukae kimya !
Kama gazeti lilikwisha ripoti , humu unatuletea ili iweje ?
Kama unajidanganya utatubadili wa mabadiliko umekwama !
Hiyo list iwepo kwenye web ya Cdm ama isiwepo, kura zetu hatumpi Makomeo!
Unawatishia nyau kwani wamedanganya ama unataka wasiripoti yaliyojiri mkuu!Raia Tanzania kuna maisha baada ya uchaguzi muelewe hivyo.