List of Shame PCCB: Maskini kifungo, Tajiri Kifungo au Faini

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Nimeangalia kwa makini sana list of shama katika website ya Takukuru nimeona watu kama walimu na watendaji wa kijiji wakifungwa hadi miaka saba jela! huku wakurugenzi wakipewa nafasi ya kulipa faini ama kwenda jela!

Nilitakakujua watu wa mahakama wanvyotoa hukumu! na vile vile kwa Takukuru wanakata rufaa? kutokana na kutoridhika na kahukumu kadogo kulingana na kosa la rushwa ya mtuhumiwa?

Nawakaribisha wanasheria na jamii kwa ujumla kunifafanulia haya
 
Takukuru wenyewe wako kwenye hiyo list of shame kupitia mambo yaliyokuwa yakiendelea wakati wa Hosea...Wacha tuone Valentino Mlowola kama anaweza akarudisha sifa ya TAKUKURU iliyopotea tangu kuanzishwa kwa taasisi hiyo.
 
Ngoja Tuone maana leo walikuwa wakihojiwa na TBC1 niliona kama Mbwembwe sana ikufikiwa katika kipengele cha Takukuru kuchua rushwa wanashusha sauti kwa wale wanaojua kusoma alama utaujua inamaanisha nini
 
Back
Top Bottom