suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Tell them my love.
I love you too much......
Love you.
Poa. hujambo laaziz?
I see....asante ts over now...fanya yako usinijue
Cc. Mafikizolo come this way dear
Last edited by a moderator:
Tell them my love.
I love you too much......
Love you.
Poa. hujambo laaziz?
Jamani jamani jamaniiiii
Una jipya nikusikilize au ni.haya haya
Mi nakupenda tu
Ahhha utawadanganya wengine sio mie wewe kwangu ushakua future impossible tense!!! Bye
Hahahahahah duh. Kibuti cha hazarani kinaumaje?
Haya bye wasalimie mashemeji.
cc Mafikizolo kaaaaazi ni kwako sasa.
Hahahahahah duh. Kibuti cha hazarani kinaumaje?
Haya bye wasalimie mashemeji.
Jamani usimuache babu yangu kwa huu utani wa mjukuu na babu yake
Asee huu mchana kweupeeee mnanidanganya tatizo babu yako.mwingi wa habari mie nimemshindwa
Ndo utulie babu
Usimfanyie hivyo bibi yangu yeye ni wako daima.Kwa jinsi anavyokupenda ukimuacha anaweza kujirestisha in pisi
Nijirestishe in piis kwa lipi wewe??? Maadam upo wewe tulizo la moyo wangu..... mie roho kwatuuuuu...
Shauri zako ngoja uje uachwe?
Hahaha niachwe mara ngapi?
Kaa chini uanze kulia maana ndo ulichokuwa unakitafuta
Usimfanyie hivyo bibi yangu yeye ni wako daima.Kwa jinsi anavyokupenda ukimuacha anaweza kujirestisha in pisi