Wii shemeji Rogie hajambo? Siku nyingi sijamuona atii
Pole wii ila nna imani shem yupo bhana atakuja hata kaka yako si unaona adimu kweli hum?Yani my wii sijui ndio nimekimbiwa maana hata mie simuoni siku hizi......lol
Pole wii ila nna imani shem yupo bhana atakuja hata kaka yako si unaona adimu kweli hum?
hapa ulikuwa unamaana gani charminglady.
hivi where is Passion Lady?
iyo kiwatengu chasaka nai lyalyamika mbe muenenge mshawa woo natulyie bana wahi....muenenge wetosha kapisa alyafu uuche kunu koko
Mmh haya miss chagga lakini mndu mkanjiwona nudhamiria kurunda mapinduzi ! Uogopi kulogwa nkiki no jiamini ?