suleiman omary
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 257
- 49
safi mkuuHakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.
Uiite rubbish au sijui uiite takataka ndiyo report iliyofanyiwa kazi na wataalam
safi mkuuHakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.
Uiite rubbish au sijui uiite takataka ndiyo report iliyofanyiwa kazi na wataalam
Akili za bavicha bana.Eti Rais amepanga kumjibu!huoni hata soni?Acha kumpuuza rais wa TLS ambaye rais kesho amepanga kumjibu.. wewe unampuuza rais wako anamtilia maanani,bilashaka watu watakupuuza wewe.
SHIDA NI PALE WAOMO HAO WANAOTAFITI KAMA ULIVYOSEMA WANAPOINGIZA SIASA NA KU-POLLUTE TAFITI ZAO ZOTE. MFANO ZILE TAFITI MAARUFU ZA TWAWEZA.Ujue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.
"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.
Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k
Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
Sasa ndio umeandika nn hapa??
kwa hivyo kama huyo kiongozi ni msengerema na lisu nae atakuwa msengerema?!
alafu huoni kwamba huyo kiongozi aliyewaita wa tz malofa enzi zake zishapita tofauti na akina lisu ambao bado wanasaka dola?!
Tushachoka na ishu za Lisu na wewe njoo na utafiti wakoUjue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.
"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.
Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k
Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
Tusi liko wapi hapo.Ulipolalamika kuwa LISU anatuka, nilijuwa wewe hutatukana.....
By the way, nimeitaja CDM kuonyesha kauri zenye hamu ya jambo fulani litokee na halitokei
Hatuna mda wa kubishana na wapuuzi, Tutawashughulikia kwa kutaka kuhujumu uchumi wetu.Hebu tueleze nini Lissu anapinga na uelewa wako kwa yale anayoyapinga ni upi? Haitoshi kuja na madai ya jumla kisha unahitimisha kuwa mtamvua taulo mapema. Nani anawadanganya kuwa nchi hii ni yenu peke yenu? Mnashindwa kubishana kwa hoja halafu mnaibuka na vitisho uchwara kama mlivyo uchwara! Hovyooo...
Hiki ni kielelezo cha ni kwa jinsi gani hata hujui kinachojadiliwa!Hatuna mda wa kubishana na wapuuzi, Tutawashughulikia kwa kutaka kuhujumu uchumi wetu.
Vita ya uchumi haitamuacha mtu salama.
Wazungu sio watu wa kuchekea lazima ucheze na timing.
Wale wote wanao jifanya mabwanyeye wanyofolewe fasta.
Hizi sio Enzi na Mangi sina wala Mangungo wa usovero.
Ujue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.
"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.
Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k
Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
Tusi liko wapi hapo.
Usitafsiri Kiswahili kwa kabila lenu.
Eleza mana ya hilo tusi kwanza ndo utoe povu.View attachment 522653
Hapo penye njano, unaona hujatukana?
[emoji16][emoji16][emoji16]Madini kibao tu yalishaondoka,mikataba ni mibovu sana haina tofauti na ile ya kuuza watumwa