Lissu, wasomi duniani kote hawafanyi hivyo

Lissu, wasomi duniani kote hawafanyi hivyo

Hahaha nacheka kama mazuli nisawa nakujitekenya alafu unacheka unategemea nini walikua wanapitisha mikataba kishabiki alafu wanapiga kelele watulie tu kwasababu wanafikili wanawakomoa wapinzani kumbe wanalitia taifa hasala mimi naendelea kuangalia sinema sijui itakwisha lini wakikulupuka tena tumekwisha tutalipa zaidi
 
Hakuna siasa ktk ile report ya wanasayansi na ule ndiyo ukweli wa report yenyewe.

Uiite rubbish au sijui uiite takataka ndiyo report iliyofanyiwa kazi na wataalam
Ile report ni total rubbish kwa sababu ilipeawa jina la ripoti ya kitaalam japo haikukidhi vigezo vyovyote vya kitaalam. Minerla Analysis gani huwa haina QAQC report?
 
Mimi sina shida na content, hata kama ina kasoro kiasi gani, ishu lugha. Kuna aina ya lugha mtu ukishafikia hatua fulani haupaswi kuzitumia
Report ile ilistahili kupewa heshima ya kitaalam kama ingekuwa ni report ya kitaalam.
 
Ujue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.

"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.

Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k

Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
That guy is insane.
 
Sasa kama ni rubbish ulitaka asemeje? yaani ma CCM yanapenda kusifiana ujinga[/QUOTE
If it's rubbish as you wailingly say, has he presented something that is not rubbish? By saying it's rubbish Tundu Lissu makes us believe that there is something he knows. The question is, why hasn't he put it in the public domain? Otherwise, to me Lissu is just a heckler seeking cheap popularity through matters he knows little or nothing at all about.
 
Niko tayari kusahihishwa...sikumbuki ni mahala gani nilisoma kwamba Prof Muhongo amesema Ukweli utabaki kuwa Ukweli .....
 
Kwan lisu ni msomi. Lisu ana sifa yoyote ya kuweza kumfananisha na ma profesa waliofanya utafit?? Ni kwa sabb tu Lisu ana forum ya kusemea upuuzi wake. Kiukweli Lisu hana usomi wowote wa kuweza kumfananisha na ma profesa waliobobea kwenye utafiti na utafiti ndo maisha yao
 
Sijasema usifu kitu kama unaona kina kasoro, nimesema ubakosoa kwa lugha ya staha. Hebu fikiri mfano wewe umefanya kazi yako kwa kutumia muda akili na resources nyingine, halafu unamaliza na kuwasilisha halafu anaibuka mtu mmoja anayeaminika kuwa msomi anakuambia what you did is total rubbish! Hahahaha, hatuendi hivyo aiseee, Lisu yuko vizuri ila kwa lugha hizi sio aisee, ajirekebishe
Hawa mashabiki wa vyama wengi ni mburula, usijibizane nao.Unaweza jikuta unabishana na mtu ambaye hata ahule hajamaliza au aluzungusha.
 
Mi sioni usomi wa Lissu anasifia kuibiwa kwetu kwa kisingizio cha MIGA mbona Trump amepiga chini mambo ya MAZINGIRA ? Jali UZALENDO. Kwa akili zq Lissu ile mikataba yq wazungu na watemi ya kupewa shanga kwake hadi leo tungendelea kutumikishwa kisa ilifungwa kisheria. Si bora kuqnzisha tifu kuliko kuibiwa?

Bila shaka ni lazima umeelewa pia kuwa katika kutekeleza azma ya Trump "kupiga chini" mambo ya mazingira ameagiza Marekani ijiondoe kwenye mkataba wa Paris (COP 22) na miradi ya kimataifa ya mazingira. Hiyo ndiyo maana halisi ya "kupiga chini"; si kuishia kwenye blabla za kisiasa tu.

Sijui kwa nini mnarahisisha sana hoja ya Lissu ya kutaka nchi ifuate utaratibu sahihi na wa uhakika wa kuvunja hiyo mikataba ya kiwizi. Eti amekosa uzalendo! Lissu aliwekwa lupango na kutishiwa kuuawa akipinga kusainiwa mikataba hiyo ya ovyo.

Leo, anaielekeza serikali njia ya uhakika ya "kuwapiga chini" ACACIA anaitwa mtetezi wa ACACIA? Eti bora kuanzisha tifu? Anzisheni tifu bila akili kama mnadhani huu ni mkataba wa bodaboda. Subiri uone kick zikiisha hili suala litakavyozimwa kimya kimya huku ACACIA wakiendelea kujichotea dhahabu kwa raha zao.

Nachoweza kukubali pekee kuhusu Lissu ni kweli kwamba ana "lugha ya kuudhi" kwa watawala. Lakini ana hoja nzito sana kuzidi hiyo lugha korofi. Aidha, Rais mwenyewe na wapambe wake nao hawana lugha za kistaarabu za upatanishi wa kitaifa. Wametanguliza sana lugha za kejeli, majivuno, na udhalilishaji huku wakitumia vyombo by dola kuzuia "right of reply".
 
Anayependa kutumia neno Rubish , hawa Mara nyingi ni mtu anayeitwa Dustbin. Kwa hili Lissu NA Dustbin which needs lots of rubbish to survive, otherwise it will be rendered useless.
Keep dreaming..
 
Ujue mara nyingi wapinzani wanakuwa na hoja nzuri tu kwenye mambo mbalimbali shida ni kutoa mawazo yao kwa jazba na lugha chafu. Mwishowe wanaharibu ladha yote ya hoja zao.

"Ripoti ya Mchanga it is Rubbish! Rubbish!" Lissu (2017).Ni mfano mmoja miongoni mwa mingi.

Hauwezi ukawakosoa wasomi wenzako kwa kutumia lugha za namna hii. Haikubaliki dunia nzima. Wasomi hukosoana kwa hoja lakini kwa lugha zenye staha. Mfano huwezi kumuambia mtafiti, mchunguzi, au mtoa ripoti kuwa "ripoti yako ni upuuzi mtupu" badala yake unatakiwa umuambie ripoti yako ina upungufu mkubwa n.k

Kwa hiyo ni vizuri kuwa makini na utumiaji wa lugha unapowakosoa wasomi wenzako, vinginevyo hata kama una hoja ya msingi utapuuzwa.
We ulitaka aseme ni nzur eeeeh tena ni mav mav
 
Siku zote ukweli ni mfupi na uongo ni mrefu.Na wahenga wanasema ukweli unauma.Hii tabia yakuremba remba maneno kinafiki ni tatizo kubwa sana nchi hii ndo maana inaendelea kua maskini.
 
Ndo kawaida yenu... haya embu cheki kauli hizi..!!



1. Mtakula nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe (MRAMBA)
2. Ukitaka kula inabidi ukubali na wewe kuliwa (J Kikwete)
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora (J Kikwete)
4. Hata mimi sielewi kwa nini Tanzania ni maskini! (J Kikwete)
5. Ningekuwa mvua ningenyeshea mabwawa (J Kikwete)
6. Wafanyakazi hata wakigoma miaka 100 ila mshahara kima cha chini 350,000 haiwezkani (J Kikwete)
7. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (J Kikwete)
8. Acheni wivu wa kike (MSEKWA)
9. Asiyeweza nauli mpya kwenda kigamboni apige mbizi (MAGUFULI)
10. Baada ya kutumia helikopta ya jeshi kwenda kwetu urambo mlitaka nipande punda(KAPUYA)
11. Wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio(Dr Didas Ma------)
12. Mnaniuliza mvua kwani mimi waziri wa mvua?(WASIRA
13. Posho za wabunge lazima zipande kwa sababu maisha ya Dodoma yapo juu (Spika Makinda)
14. Wakati huu ambapo nchi inakabiliwa na janga la njaa nawashauri wakulima wahifadhi hata pumba maana zinaweza kusaidia (John Malecela)
15. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe - Cleopa Msuya
26. Wapinzani wanapenda mambo ya ovyoovyo wanafiki hawa wataendelea kuwa wapinzani tu (Samwel Sita)
17. Graduates msio na kazi fugeni kuku biashara hiyo inalipa sana (Mwantumu MAHIZA)
18. Tanzania ni muungano wa visiwa viwili, Tanganyika na Zimbabwe (Philip Mulugo)
19. Siongei na mbwa mi naongea na mwenye mbwa (Juma Ngamia)
20. Hakuna Rais atakayetoka Kaskazini (Ridhiwan Kikwete)
21. Mbowe amekuja hapa kajamba-jamba halafu kaondoka (Seif Khatib)
22. (Billioni 1.2) - Hivyo ni vijisenti tu (Andrew Chenge)

Dah! Hiki kipaji umekipatia wapi?
 
Mimi sina shida na content, hata kama ina kasoro kiasi gani, ishu lugha. Kuna aina ya lugha mtu ukishafikia hatua fulani haupaswi kuzitumia
kwa hiyo akitumia lugha nzuri, ripoti itabadilika kuwa ya kweli?
 
Hivi Tanzania wanasema ni ya nne katika uzalishaji dhahabu, Je, wezi hawa ndio waliotoa takwimu? je, wanaweza kuimanisha dunia kuwa tanzania ina dhahabu nyingi wakati wao ndio wakuapuaji wakubwa?
 
Kwa watu wenye ujuzi na fani ya miamba wanajua ukweli halisi na ndio maana wengi wao walishangaa hiyo report kama kweli hiyo copper concentrate ina madini kiasi kile!! Kwa dunia hii migodi ingekuwa iko nafasi ya juu sana!! Ndio maana lisu alitumia lugha kali kiasi kile kwani masuala ya kitaalam ni kosa kubwa kuweka siasa
Mkuu assumption yako ni kuwa ule mchanga haujachakachuliwa kwa kuongeza vitu vyovyote. What if kama mchanga ulichomekewa (stashed) madini mengine au ulichanganyiwa na mchanga toka sehemu nyingine unaochimbwa kwa siri ambao ndio una hizo metals nyingine? Na wewe unajua udongo halali wa sehemu husika.
 
Jamaa nahisi ana "Ego"+Hyo nDio mentallity ya Upinzani..
Approaches zao nzuri ila wana finishing mbovu n Viceversa, kwani Mpaka utumie lugha ya Hasira sana nDipo ueleweke??..
Lowassa ypo Upinzani ila Jamaa yko polite sana when it Comes to talk,wajifunze kutoka Kwake
Mtu unang'ka mishipa ya ShingO imekusimama km kamba za kuanikia Nguo+Unageuza kinywa kuwa JALALA
He is Better than that
 
Back
Top Bottom