Lissu: Wanaotaka kuondoka CHADEMA ruksa

Lissu: Wanaotaka kuondoka CHADEMA ruksa

CCM pakuhemea hamna maana Lowassa anajua michezo yenu michafu yote na ameshiriki kuitenda

Tunataka tuwajue vizuri zaidi
 
hii timu ni tamu sana bado kosi linasukwa na linapambika nashauri kocha wange mpanga lisu winga ya kushoto alafu slaa winga ya kulia na kumi haje wa cuf na mbatia acheze katikati kama mkabaji ma mchezeshaji awe mbowe na makaidi gori kipa na tano acheze lipumba, tisa wa kuvizia maaana ukimweka huyu wapinzani wetu hawata kuja mara nyingi kwetu zaidi tutacheza sisi time yote huuuwiiiiiii na mfananisha na ronadikho au mesi au cristian ronaldo si mwingine lowasaaaaaa.
 
Mkuu kuwa mpole, ulitaka aseme ukweli upi kwa kipindi kile, tafakari zaidi hayo alafu utapata jibu


Usiwe na jazba tunachohitaji ni kuiondoa ccm tu
sina jazba na nimeshakuwa mpole siku nyingi..
adui ni ccm nafahamu..
binafsi sikubaliani na approach inayotakatumika kuindoa ccm..
niliipenda sana chadema kwa siasa zake sera itikadi na falsafa...pamoja na umahiri wa viongozi wake..
lakini inafika mahali unapima unaamua tu ..ndio tofauti ya binadamu anayetafakari kulingana na matukio na mlolongo wa maisha anapohitaji mabadiliko...
 
haaa timu Magufuli, ccm bana wanajifanya CHADEMA

ndio upofu tulionao prochadema mnataka kila mtu akubaliane..sasa nipewa akili ya nini..?

tafakari ni muhimu..

nimeshajiuliza maswali mengi tu ..na ndio maana nimefikia huu uamuzi...
 
TUNDU-LISSU-SEP-06-620x307.jpg


11796451_1442163816111303_4121480236787184708_n.jpg
A mere COINCIDENCE ?
 
angekuwa na nia ya dhati angeyasema haya mapema.. tafuteni sababu nyingine...

mie nawatakia kila lakheri kwenye safari yenu ya matumaini... nitakuwa sehemu ya mabadiliko kwa namna nyingine.. sio kila kitu nishabikie maana tumeembiwa wengine nikinani wakati maprof madr wabunge ,kamati kuu wanajua zaidi wameshakubali wengine ni kinani kupinga huu uamuzi muhimu ni kukaa kando kutizama mchezo tu..wenye chama washaa amua...

si rahisi kusema ukweli kwa utashi tu hasa kama ukweli huo ni tishio kwa jamii. hivyo mazingira hujijenga kwa ukweli kubainika
 
mzee usiwe na shaka mlango upo wazi unatoka wewe wanaingia wengine watano. Tunakutakia mafanikio mema huko uendako

asante aisee siyo....watano ..mwenyekiti ameshasema kwa mtaji wa wafuasi wa lowasa hawezi kufanya makosa sasa..
mimi nitaweka tofauti gani..? wakati mamillion yanakuja...
 
Ufisadi unabadili tu makao. Unatoka CCM sasa unakwenda Chadema. Bila shaka kuna haja ya kupima akili za hawa Ukawa si bure. Watu wanaegemea kumsafisha Lowassa katika kashfa ya Richmond. Lowassa hana kashfa moja tu. Mtazame katika safari yake ya utumishi na uongozi. Haijanyooka hata kidogo.
(1) AICC
(2) Kashfa ya mashangingi ya wabunge akiwa waziri katika ofisi ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais
(3) kujiuzia ranches za umma akiwa waziri wa mifugo.
(4) kashfa za alphatel, shivacom.
Utajiri wa Lowassa hata yeye mwenyewe hawezi kuueleza kwa ufasaha. Kwa sababu kuna gray areas nyingi. Huyu ndiye Lowassa ambaye mnamtaka awe rais wa nchi kupitia ukawa. Tunakosa mantiki kama Taifa.
 
It is now certain and clear beyond doubt ya kwamba aliyegoma mkataba wa Richmond usivunjwe ndo FISADI.
 


"Alijiuzuru uwaziri mkuu kwa sababu ya Richmond. Tulimweka katika orodha ya mafisadi kwa sababu ya Richmond. Na jana alisema alimwambia rais "tuvunje mkataba" rais akaataa. Angefanyeje?. hilo ni vumbi, litakapo tulia Chama Cha Mapinduzi na mfumo tawala utakuwa umeanguka, tutajenga nchini.Bila kuvunja mfumo tawala hakuna kusonga mbele," ameeleza Lissu.

Hapo ndipo alipotakiwa kufanya MAAMUZI MAGUMU ya kuweka mambo hadharani, kurudisha kadi ya CCM na kuvaa GWANDA! Vinginevyo ni kumpakazia mwenyekiti wa CCM baada ya KUKATWA!

NB: HII INADHIBITISHA JINSI WANASHERIA, AINA YA TUNDU LISSU, WALIVYO MABINGWA WA KUPINDISHA UKWELI KWA MASLAHI BINAFSI NA HIVYO KUIBAKA HAKI!
 
asante aisee siyo....watano ..mwenyekiti ameshasema kwa mtaji wa wafuasi wa lowasa hawezi kufanya makosa sasa..
mimi nitaweka tofauti gani..? wakati mamillion yanakuja...

Mbona mnaagana muda mrefu hivyo?
 
Genius genius...fantastic, bombastic, magic, wonderful Lissuuuuu....

Jamaniiii UKAWA + Lowassa ni YESU ANARUDI DUNIANI.... yaaaniiiiiiiiiiii...nakosa la kueleza...

Yesu atarudi soon....aaaaaahhh Ukawa watu wana akili sana, sasa ongeza na Lowassa, ni OVER GENIUS....!!!
 
Back
Top Bottom