Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Think the opposite. Mipasho inatumika CCM ikiongozwa na khadija kopa pale nec.Hapa tunaita TRANSPARENCY moja ya principal za good governance. CCM haina what we call transparency ndiyo maana huwa hamwambiani ukweli matokeo yake nchi inaendelea kuliwa. Wewe kwasababu ni wa huko huko basi unaona ajabu tunachokifanya hapa JF, na unatumia neno 'mipasho'. Let me tell u mabadiliko yatakuvaa tu kama mafuriko taka msitake kilaza we!
mabadiliko siyakatai ila tatizo linakuja 2nayapataj
 
Jana waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu mh stivn masatu wasira alimwambia lisu kwamba asiwapotoshe watanzania kwa kulidanganya bunge eti mkoa wa singida upewe bajeti sawa na mikoa mingne...lisu anashndw kuangalia population, mazingira pamoja na mahitaji ambavyo hutofautisha mikoa hiyo na kupewa bajeti tofauti, ila simlaumu ndo anajifunza ivo...Tindu "no reaserch no right to speak"
Huyu kisura wa CC magamba anahusisha mazingira yapi?
 
Lissu kazidi kukurupuka. Anatafuta umaarufu kila anapoona upenyu. Kuna watu wanavichwa x 1,000,000 kuliko yeye, huyu kijana asipojichunga watamwingiza mkenge kichwa kichwa, aatapewa chambo chenye ndoano yeye aone kapata kula kumbe anakwenda kuliwa yeye. Apunguze speed, asione watu wajinga.
Na wewe kwenye kundi la wajinga unajiondoa????????
 
huyu mzee Wasira kidogo naona IQ yake imeshake, si mtu makini si mtu anaeaminika, kwanza haaminiki na wala si mtu wa kutilia maanani asemacho
270383_175684325826537_100001549126150_454565_5101192_n.jpg

likichwa lake limejaa kamasi..
 
dogo acha ukilaza alafu usiangalie one side of da coin yale ni maumbo ya Mungu, ulishamfika zito kabwe karibu uone alivo alafu kijana sasa ndo mana haoe approach to 40yrz...mbona hujamueka ndesambulo mapesa kwenye kikombe...dogo jiangalie kwenye kio...

Mbona unahamaki hivyo au umegonganisha magari na huyu babu kwa hiyo unajistukia?
 
Jana waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu mh stivn masatu wasira alimwambia lisu kwamba asiwapotoshe watanzania kwa kulidanganya bunge eti mkoa wa singida upewe bajeti sawa na mikoa mingne...lisu anashndw kuangalia population, mazingira pamoja na mahitaji ambavyo hutofautisha mikoa hiyo na kupewa bajeti tofauti, ila simlaumu ndo anajifunza ivo...Tindu "no reaserch no right to speak"
Akili za watu wa magamba ccm wote akili zenu moja(mbovu)sasa hapa Lisu kalipuliwa vipi na Wasira!!!?
 
labda mimi sielewi, hivi ukijibiwa hoja yako uliyotoa ni kulipuliwa? au kiswahili changu kinamashaka inabidi nijifunze zaidi
 
Hawa majamaa zetu bwana...atleast if you intend to plant people in this forum as per katibu mwenezi wa chama said, then bring people who are competent and knowledgeable about the status of this forum...sio mnatuletewa watu waliochukua computer course pale gezaulole computer training center and then bring them here to give us lightweight comments like the one above...you can just tell that this guy is not worth to be contributing in this forum....nenda kwenye zile blog za udaku...not h
 
Mimi silaumu sana coz kisayansi inaonyesha mtu akizeeka anakosa maarifaa kabisa pengine hata huyo huenda ubunifu wote kushne ndo maana ya mbonji mjengoni
 
yaani kweli huyu kilaza babu anaweza kumlipua kamanda lisu ataanzia wapi,wakat hicho kibabu kadri siku zinavyokwenda ndo kinazidi kupoteza memory
 
Huyu kisura wa CC magamba anahusisha mazingira yapi?
low thnkng capacity...huwez kuchangia thread zangu...find ur level u can contribute...dis z another level above da sky....kwanza huna adres cdm, nani anakujua chatema???
 
Lissu kazidi kukurupuka. Anatafuta umaarufu kila anapoona upenyu. Kuna watu wanavichwa x 1,000,000 kuliko yeye, huyu kijana asipojichunga watamwingiza mkenge kichwa kichwa, aatapewa chambo chenye ndoano yeye aone kapata kula kumbe anakwenda kuliwa yeye. Apunguze speed, asione watu wajinga.
ustishiye watu wewe ni nani hata umpe Lissu onyo? ni miongoni mwa wanachangiaji wajinga
 
Mimi silaumu sana coz kisayansi inaonyesha mtu akizeeka anakosa maarifaa kabisa pengine hata huyo huenda ubunifu wote kushne ndo maana ya mbonji mjengoni
It might be something to do with BRAIN ATROPHY kwani ana umri gani huyu babu coz nimemsikia kitambo sana.
 
Hata hivyo wakati wa Kamati ya Matumizi Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Tundu Lissu alisimama na kusema anayo barua inayoonesha kwamba Andrew Chenge na Dk.
Idris Rashid walihusika katika ununuzi wa rada hiyo na Chenge alipata dola milioni 1 alizopeleka katika akaunti iliyopo nje ya nchi na Dk. Rashid alipata pauni za Kiingereza
laki sita.


Hata hivyo Waziri Chikawe alisimama na kusema kwamba aliwaomba wabunge kama wana ushahidi dhidi ya Chenge waulete ili waende mahakamani hata kesho na akaomba Tundu Lissu ampatie ushahidi huo.

Lakini Lissu alisema ushahidi huo ni barua kutoka SFO kwenda kwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania na hivyo Serikali isiwahadae wananchi kwa sababu wanao ushahidi.

Habari Leo
Msitegemee chochote kutoka kwa hawa wezi. wanalindwa na majambazi wenzao waliobaki kwenye system. Tumekwisha!!!!
 
Back
Top Bottom