Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

Unajidhalilisha uwezo wako wakufikiri kama unafanana na wa huyo babu asiye na jipya,sijui hawa wazee wanawafanya nini kibaya vijana nyie hata wakiongea pumba mnawashabikia tu ,Hivi Lisu unaweza kumfananisha na huyu tumbo tumbo yuko pale kutete tumbo lake tu.Majibu wanayotoa sikuzote ni majibu mepesi mepesi hawana data wapo kiujanja ujanja kama nyie wake zao.Hawaangaiki hata kusoma na kuumiza vichwa wao kusinzia tu muda wote,nanyie na njaa zenu mnatetea upuuzi.mufilisi wa mawazo, https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=152417&p=2193967&posted=1
 
Lissu kazidi kukurupuka. Anatafuta umaarufu kila anapoona upenyu. Kuna watu wanavichwa x 1,000,000 kuliko yeye, huyu kijana asipojichunga watamwingiza mkenge kichwa kichwa, aatapewa chambo chenye ndoano yeye aone kapata kula kumbe anakwenda kuliwa yeye. Apunguze speed, asione watu wajinga.
huu ni uwoga wako! acha jamaa aseme kwani it is true kuna unequal distribution of resources ktk nchi yetu! hebu tazama maeneo ya pembezoni mwa nchi everything is backward.
 
Lissu was very right! Singida ni kati ya mikoa iliyo chini kimaendeleo nchini kwa miaka 50+ na imekuwa ngome ya CCM kwa miaka mingi. Lissu ni mbunge wa kwanza wa kuchaguliwa kutoka upinzani mkoani Singida tangu uhuru. Hivyo Lissu amefanya ambacho wabunge wa CCM hawakuwahi kufanya tangu uhuru, yaani kudai fidia ya kuchagua CCM angalau kwa kutengewa bajeti ya kutosha. Sio ajabu wabunge wenzake kutoka SGD wakasimama kuungana na WAHASIRA against LISSU. SHAME!
 
attachment.php

Onyesha tofauti ya hizi picha mbili!

Ni kama kulwa na doto.
 
Lissu kazidi kukurupuka. Anatafuta umaarufu kila anapoona upenyu. Kuna watu wanavichwa x 1,000,000 kuliko yeye, huyu kijana asipojichunga watamwingiza mkenge kichwa kichwa, aatapewa chambo chenye ndoano yeye aone kapata kula kumbe anakwenda kuliwa yeye. Apunguze speed, asione watu wajinga.

FF see those bolded-bila umaarufu siasa itaendaje? kupunguza speed kwa wabunge wenu wa magamba ndio kumetufikisha hapa...najua kasi yao kifo chenu so sitarajii ufurahie kasi yao. Ni kweli CCM kuna wenye vichwa 1,000,000 lakini vinachaji kwenye deal za ufisadi na ukondoo wa umauti kwa taifa letu so better huyu mwenye kichwa kimoja kuliko hao wenye vichwa 1,000,000 wanaosinzia hadi kutoa udenda bungeni.
 
this thread is non viscous
ckulaumu kwan ni uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo...why dont cc vijana nt acceptng challenge as grt thnkers? what kind f viscious/thick/technical thread u want...mbona lindu lisu mwenyewe alikubali kachanganya madesa...mimi namkubali lindu ni kichwa bt pale alichemka...na wasira ni next level.
 
huyo firefoxy na malaria sugu mbona hawa comment kwenye hiyo picha ni bora kurupuka kwa lissu kuliko huyo ambaye amelala kumbe huyo mzee hoja huwa hasikiliz
 
Hata hivyo wakati wa Kamati ya Matumizi Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani, Tundu Lissu alisimama na kusema anayo barua inayoonesha kwamba Andrew Chenge na Dk.
Idris Rashid walihusika katika ununuzi wa rada hiyo na Chenge alipata dola milioni 1 alizopeleka katika akaunti iliyopo nje ya nchi na Dk. Rashid alipata pauni za Kiingereza
laki sita.

Hata hivyo Waziri Chikawe alisimama na kusema kwamba aliwaomba wabunge kama wana ushahidi dhidi ya Chenge waulete ili waende mahakamani hata kesho na akaomba Tundu Lissu ampatie ushahidi huo.

Lakini Lissu alisema ushahidi huo ni barua kutoka SFO kwenda kwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania na hivyo Serikali isiwahadae wananchi kwa sababu wanao ushahidi.

Habari Leo
 
JK ni mjanja. Amehakikisha CCM na SERIKALI yake vinafia BUNGENI kwa kuwapeleka wazee muflisi kama hawa mjengoni. Kodi zetu jamani zilistahili kutumika vizuri zaidi ya hili BUNGE bomu.
 
Lissu was very right! Singida ni kati ya mikoa iliyo chini kimaendeleo nchini kwa miaka 50+ na imekuwa ngome ya CCM kwa miaka mingi. Lissu ni mbunge wa kwanza wa kuchaguliwa kutoka upinzani mkoani Singida tangu uhuru. Hivyo Lissu amefanya ambacho wabunge wa CCM hawakuwahi kufanya tangu uhuru, yaani kudai fidia ya kuchagua CCM angalau kwa kutengewa bajeti ya kutosha. Sio ajabu wabunge wenzake kutoka SGD wakasimama kuungana na WAHASIRA against LISSU. SHAME!
nimekuso
 
Jana waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu mh stivn masatu wasira alimwambia lisu kwamba asiwapotoshe watanzania kwa kulidanganya bunge eti mkoa wa singida upewe bajeti sawa na mikoa mingne...lisu anashndw kuangalia population, mazingira pamoja na mahitaji ambavyo hutofautisha mikoa hiyo na kupewa bajeti tofauti, ila simlaumu ndo anajifunza ivo...Tindu "no reaserch no right to speak"

Kumbukumbu ndogo!
Katika wajinga wote walioko Bungeni, siwezi kumnukuu Wasira.
Akiwa waziri wa maji, alipeleka bajeti ya maji ya mji wa Bunda ikiwa kubwa kuliko ile ya mkoa wa Lindi.

Unakumbuka kilichofanyika?, Unakumbuka alijitetea namna gani? Au huna kumbukumbu yoyote?
 
Jana waziri wa nchi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu mh stivn masatu wasira alimwambia lisu kwamba asiwapotoshe watanzania kwa kulidanganya bunge eti mkoa wa singida upewe bajeti sawa na mikoa mingne...lisu anashndw kuangalia population, mazingira pamoja na mahitaji ambavyo hutofautisha mikoa hiyo na kupewa bajeti tofauti, ila simlaumu ndo anajifunza ivo...Tindu "no reaserch no right to speak"

Hawa majamaa zetu bwana...atleast if you intend to plant people in this forum as per katibu mwenezi wa chama said, then bring people who are competent and knowledgeable about the status of this forum...sio mnatuletewa watu waliochukua computer course pale gezaulole computer training center and then bring them here to give us lightweight comments like the one above...you can just tell that this guy is not worth to be contributing in this forum....nenda kwenye zile blog za udaku...not here man..not here
 
huyu mzee Wasira kidogo naona IQ yake imeshake, si mtu makini si mtu anaeaminika, kwanza haaminiki na wala si mtu wa kutilia maanani asemacho
270383_175684325826537_100001549126150_454565_5101192_n.jpg
Huyu mzee ile kansa ya ngozi ilimuathiri sana!
 
labda unambie jf ni ya vilaza...bt if ts 4 pipo who reanng n' look beyond...alafu humu jf muondoe mipasho humu ni kwa ajiri ya watu wenye uwezo wa kujenga hoja tu.
Think the opposite. Mipasho inatumika CCM ikiongozwa na khadija kopa pale nec.Hapa tunaita TRANSPARENCY moja ya principal za good governance. CCM haina what we call transparency ndiyo maana huwa hamwambiani ukweli matokeo yake nchi inaendelea kuliwa. Wewe kwasababu ni wa huko huko basi unaona ajabu tunachokifanya hapa JF, na unatumia neno 'mipasho'. Let me tell u mabadiliko yatakuvaa tu kama mafuriko taka msitake kilaza we!
 
Kwa nini serikali inafanya jitahada kila kikao cha bunge kuwasafisha akina Chenge na wenzake?
 
Yaani pamoja na kikombe bado uso umeungua vile, kweli babu 'bird" aliacha sumu si ya kawaida
dogo acha ukilaza alafu usiangalie one side of da coin yale ni maumbo ya Mungu, ulishamfika zito kabwe karibu uone alivo alafu kijana sasa ndo mana haoe approach to 40yrz...mbona hujamueka ndesambulo mapesa kwenye kikombe...dogo jiangalie kwenye kio...
 
Unamjua Babu ''Bird'' lakini au unatoka povu tu?
 
Lissu kazidi kukurupuka. Anatafuta umaarufu kila anapoona upenyu. Kuna watu wanavichwa x 1,000,000 kuliko yeye, huyu kijana asipojichunga watamwingiza mkenge kichwa kichwa, aatapewa chambo chenye ndoano yeye aone kapata kula kumbe anakwenda kuliwa yeye. Apunguze speed, asione watu wajinga.
lisu ni timamu kuliko magamba wote na hakuna kichwa cha kumtisha hapo magamba.kuna usmi unasema mjinga akikosea watu wote wanajua isipokuwa yeye ila mwerevu akikosea hujua yeye isipokuwa wengine.
kwa hiyo usikifananishe hiki kichwa na fisadi wasira.
 
Back
Top Bottom