Lissu: Sijawahi kusikia mtu anayeitwa Hosea Mirambo jimboni kwangu na sidhani kama yupo

Wanajaribu kumnasua Magufuli na serikali yake......ukweli utajulikana. Sasa una uhakika ni Magufuli na serikali yake kwanini usiuanike huo ukweli unaoujua? Tena huko hamna vitisho.
ni kweli ni magufuli kahusika hata wewe GT unalifaham ila mahaba sikulaumu its human nature!
 
Mwambieni leo tumezindua flyover yeye aendelee kuwa mbunge wa mitandaoni

IMG_1303.JPG
IMG_1305.JPG

Kama hiyo ya Tazara ni Flyover basi hii ya I-10 Katy-Texas ni nn?
 
Hebu tafakari zaidi,. Ilikuwaje risasi zitokee upande wa dereva na zimpate mguuni na si kifuani au sehemu nyingine ya mwili.
Inamaana huyu mpigaji ilikuwa rahisi kwake kuuona mguu kuliko kichwa , kifua ?
Nnachojua kilicho tokea kweny biblia wakat Shadrach ,meshak na Abednego walivyotupwa kwenye moyo kwa amri ya mfalme na wakapona kwa miujiza ya Mungu ndivyo nnavyojua lissu aliponywa kutoka kweny mikono ya ya mafedhuli kwa muujiza maada ya kupitshwa kweny mvua kubwa ya risas ,
 
View attachment 879609
Mimi sijawahi kuwa na Katibu anayeitwa Hosea Mirambo. Katibu wangu wa miaka yote tangu 2010 anaitwa Moses Fanuel Omari. Anaishi Kijiji cha Issuna A, Kata ya Issuna, Wilaya ya Ikungi.

Sijawahi kusikia mtu anayeitwa Hosea Mirambo jimboni kwangu, na sidhani kama yupo.

Jeshi la Polisi na Serikali ya Magufuli linaendekeza uzushi na ujinga wa aina hii mitandaoni kwa sababu linawafahamu waliohusika kujaribu kuniua.

Gari yangu iko Polisi Mkoa wa Dodoma tangu tarehe 8 September 2017. Huyo anayesema halina damu ameambiwa na nani wakati gari iko mikononi mwa polisi muda wote huo.

Kuna mjinga mwingine aliandika hivi karibuni kwamba matundu ya risasi yako upande wa kulia, wakati mimi nilikaa upande wa kushoto. Alijuaje wakati gari iko polisi na Jeshi la Polisi halijawahi kusema chochote juu ya mambo haya???

Wanajitahidi sana kumnasua Magufuli na Serikali yake kwa damu iliyomwagika tarehe 7 September 2017, na kwa mateso na maumivu yote ya zaidi ya mwaka mmoja.

Hawataweza kumnasua kwa uzushi na ujinga wa aina hii. Ukweli wote utadhihirika siku moja. Ni suala la muda tu.
wanajinyeanyea si walijua wamemuua KAMANDA Lisu sasa kapona wanahofia moto kuwaka mimi nasema lisu Hakuna kumlegezea mshenzi yeyote taja wote mpaka KAMANDA wawasiojulikana bashitee
 
Unapomtaja directly Mkuu Wa nchi kuhusika Na shambulio hili unamaanisha nini? Una uhakika gani? Je hapo unategemea kirudi kweli akiwa yupo madarakani? Huoni kuwa wewe ni mchonganishi Na mzushi? Kwanini usiache vyovyo vya upelelezi vikafanya kazi?mbona dereva wako umemficha asihojiwe? Kwa nini hujasema ni kwa nini risasi zitokee kushoto lakini ukaumia kulia? Kwa nini dereva wako alipoona mnafatiliwa asikupeleke sehemu salama kuliko nyumbani ? Kwa nini dereva wako apaki gari huku akijua nyuma kuna adui? Kwa nini dereva wako hakupata jeraha lolote? Siku ukitaka kujua waliyokudhuru ni pale dereva wako atakapohojiwa Na vyombo vya upelelezi!!
 
Yet another set of absurd allegations from dude. Tundu's 15 minutes are long gone. Hata 50 Cent alipigwa risasi 5 au 6, but he moved on.
Mnaomtetea jamaa, hivi akili mnaziweka wapi ?! Kwa kuwa wengine nao wamewahi kupigwa risasi, Basi watu wasiwalaani "WASIOJULIKANA" ?!

Ni rahisi kumhukumu mwenzio!!!
 
IPO Siku nguo za kijani mtazivua ili mjifiche, hazita vulika mtakimbilia pasipo kimbilika,

Lisu mungu kesha kuponya tunakusubiri kuendeleza mapambano wewe hununuliki Mung'inya wu kayaa
Wajefya sn munyampaa!
 
Hivi hizi lawama za kila siku si ataje tuu tuelewe moja kila siku siku watu wake watu wake...
Chaaaa...
Aliwatajia namba ya gari iliyokuwa inamfuata,unataka ataje mara ngapi?hata akitaja yatakuwa ndio yale yale mtapotezea tu..hamtojali
 
Aliwatajia namba ya gari iliyokuwa inamfuata,unataka ataje mara ngapi?hata akitaja yatakuwa ndio yale yale mtapotezea tu..hamtojali
Sometimes kifo kina thamani kubwa kuliko uhai. Jina lako litabaki milele na milele, pasipo uwepo wako.
Na kizuri zaidi ni kuwa '' Kila nafsi itaonya mauti''. Na baada ya kifo, hakuna kitakachokusaidia zaidi ya amali zako njema ulizozitengeneza ukiwa hai hapa Duniani.
Vyeo(Mamlaka), fedha, vifaru havina nafasi siku hiyo ya hukumu.
 
Aliemshambulia Lissu nina uhakika wa 100%,hakua na nia ya kumuua,nia ni kumpa ulemavu
Haiwezekani risasi zote sijui 90' hakuna hata moja ya kichwani au kifuani walikua wanapiga tumboni kuelekea miguuni ili asife
Exactly. Huwa nawaza hivyo pia. Nia haikua kumuua ila kumpa mateso na ulemavu wa kudumu.
 
Back
Top Bottom