mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Rais Mwenyewe anamkubali sema Dr Samia anaogopa CCM itamuonaje.Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kua simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba lkupewa jina lake, amesema yey amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao. amesema kwamba babu yake mzaa baba mzee Mughwai aliwahi kuuwa simba hata baba yake mzee Lissu pia aliwahi kuuwa simba hiyo Rais Samia anaweza asijue lakini hajakosea kuniita mnyama huyo mwenyView attachment 3079437e ujasiri na mamlaka katika tamaduni nyingi za dunia
Simba kama Simba......majina mazuri yameanza kitapakaa kutoka upinzani.Nipo Zanzibar kumfuatilia Simba Tundu Lisu wa Kizimkazi
weka source!Kufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa Kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao.
Amesema kwamba babu yake mzaa baba mzee Mughwai aliwahi kuuwa simba hata baba yake mzee Lissu pia aliwahi kuua Simba hiyo Rais Samia anaweza asijue lakini hajakosea kuniita mnyama huyo mwenye ujasiri na mamlaka katika tamaduni nyingi za dunia.
Lissu a.k.a simba anamapigo ya hatariKufuatia Rais Samia Suluhu Hassan kutoa maagizo kuwa simba wa kizimkazi Zanzibar aitwe jina la Tundu Lissu, naye Lissu amefunguka kuhusu simba kupewa jina lake, amesema yeye amezaliwa kwenye ukoo wa mashujaa wa Kinyaturu ambao waliwahi kuua simba walipoingia kula mifugo yao.
Amesema kwamba babu yake mzaa baba mzee Mughwai aliwahi kuuwa simba hata baba yake mzee Lissu pia aliwahi kuua Simba hiyo Rais Samia anaweza asijue lakini hajakosea kuniita mnyama huyo mwenye ujasiri na mamlaka katika tamaduni nyingi za dunia.
Kimtego sana...
Hakika Simba aliyeuawawa na jamii hiyo ya kinyaturu alikuwa HATULII...amevamia zizi la ng'ombe na kwa kutotutilia kwake MAWINDONI akajikuta YEYE ndiyo asusa ya akina mzee MUGHWAI....
Kweli Simba yule hakuwa MTULIVU....
Je ana "ADHD"?!!
ADHD-Attention deficit hyperactive disorder.
#Mwenyezi Mungu amuhifadhi Chifu wetu Hangaya ,aaaamin aaaamin[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na magoli 3Ameshachukua point 3
Kirahisi mno kinyume na matarajio ya mbatizaji.Ameshachukua point 3