Like your mom!?You may be the next victim of the dubious Acts!
Like your mom!?You may be the next victim of the dubious Acts!
Mkuu siyo lazima uambiwe hilo,kila jambo linamipaka na iko dhahiri kwa mwenye ufahamu,ila kama wewe huna ni maisha yako.mie akili yangu ndogo inaona mipaka katika kila jambo hiyo ya kwako iko nje ya milki yangu.Kwa akili yako kama sisi uhuru wetu una mpaka , nani ambaye uhuru wake hauna mpaka?
Mawazo haya msingi wake ni uoga , wasiwasi na udikteta.
Hao unaowasema walitamka haya maneno nao ni binadamu tu kama sisi. Na kwa kuwa ni binadamu wanaweza wakati mwingine wasiwe sahihi katika kufikri kwao na kusema pia.
Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
Hivi Mwinyi alipokosea na kuruhusu ZNZ kujiunga na OIC kinyume na Katika, kesi hiyo ilifunguliwa dhidi ya AG, kwa msimamo wako ilibidi afunguliwe Mwinyi mwenyewe! Wonderful! Urais ni taasisi na serikali ni mfumo. Ni suala la kisheria zaidi. Nisije kuwa nabishana na mtu wa propoganda za ccm.Concept ya swali la TL lilivyokaa Jibu lake ni mzungumzaji tu anaweza kujibu.
Ila wewe unachukulia lile swali katika "holistic approach" ambapo kweli inaonekana kuwa TL aliuliza swali sahihi na kwa mtu na mahala sahihi. Kitu ambacho siyo kweli na siyo sahihi.
haya bwana hayo ni mawazo yako, ila kuna kitu umenifurahisha sana , umejibu hoja yangu kwa ustarabu mkubwa.Mkuu siyo lazima uambiwe hilo,kila jambo linamipaka na iko dhahiri kwa mwenye ufahamu,ila kama wewe huna ni maisha yako.mie akili yangu ndogo inaona mipaka katika kila jambo hiyo ya kwako iko nje ya milki yangu.
Siwezi kumtukana mtu kwa mawazo yake,najua tunatofautiana sana uelewa na mazingira,sasa naanzaje kujaji akili ya mtu ambaye sikumlea? Sijui hata kilichokusukuma kuandika ulichoandika,labda kina uhalisia kwa mazingira yako,ila kwangu hapana.haya bwana hayo ni mawazo yako, ila kuna kitu umenifurahisha sana , umejibu hoja yangu kwa ustarabu mkubwa.
Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
Ulitishwa na nani ukaacha kufuta neno mkuu wakati hakustahili? Yaonesha amekupa dozi ya kuondoa unyumbu mpaka ukajikuta unaita mkuu bila kufuta hata ulipokumbuka.mkuu umeandika haya ukiwa na akili zako timamu na kwa hiari yako mwenyewe?
kwanza nimekosea hata kukuita mkuu HUKUSTAHILI
Ulitishwa na nani ukaacha kufuta neno mkuu wakati hakustahili? Yaonesha amekupa dozi ya kuondoa unyumbu mpaka ukajikuta unaita mkuu bila kufuta hata ulipokumbuka.
Naomba nikuulize "Je, unaelewa ni Kwa nini AG alibeba huo mzigo wa kesi hiyo!?Hivi Mwinyi alipokosea na kuruhusu ZNZ kujiunga na OIC kinyume na Katika, kesi hiyo ilifunguliwa dhidi ya AG, kwa msimamo wako ilibidi afunguliwe Mwinyi mwenyewe! Wonderful! Urais ni taasisi na serikali ni mfumo. Ni suala la kisheria zaidi. Nisije kuwa nabishana na mtu wa propoganda za ccm.
Tundu Lissu akichangia bajeti habari, sanaa na michezo amesema katiba yetu imeondoa mipaka ya uhuru wa habari na kipindi kuanzia mwaka 2015 uhuru wa habari unakabiliwa na hatari kuliko kipindi chochote,
Amemuuliza waziri wa katiba na sheria kuwa rais aliposema hadharani kuwa waandishi wa habari hawana uhuru kiasi hicho kwa kutangaza habari za migogoro ya wakulima na wafugaji alikuwa ameshauriwa na mtu au ni yeye mwenyewe?
Amesema kuna mambo mabaya yanafanyika lakini wabunge wanayazuia yasihojiwe bungeni ila baada ya muda na wao wataanza kushughulikiwa na hakutakuwa na kelele
Elewa rais ni Kama Baba au Mama kwenye familia.
Sasa, wewe Kama unakaa unawatukana au kuwasema vibaya wazazi wako unamatatizo sana hata kama leo unajiona uko vizuri ila pana la kukutokea ndipo utakumbuka ulivyowasema au kuwatukana wazazi wako.
Unavyoheshimu wazazi wako heshima iyo hiyo iwe kwa rais wa nchi yako.
Kwa hiyo siyo kiapo ila ni nidhamu kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Tundu Lissu akichangia bajeti habari, sanaa na michezo amesema katiba yetu imeondoa mipaka ya uhuru wa habari na kipindi kuanzia mwaka 2015 uhuru wa habari unakabiliwa na hatari kuliko kipindi chochote,
Amemuuliza waziri wa katiba na sheria kuwa rais aliposema hadharani kuwa waandishi wa habari hawana uhuru kiasi hicho kwa kutangaza habari za migogoro ya wakulima na wafugaji alikuwa ameshauriwa na mtu au ni yeye mwenyewe?
Amesema kuna mambo mabaya yanafanyika lakini wabunge wanayazuia yasihojiwe bungeni ila baada ya muda na wao wataanza kushughulikiwa na hakutakuwa na kelele
TL, asijitoe ufahamu.
Yeye si anajua nyumbani kwa Rais Dr. Magufuli, kwa nini asifunge safari akamuulize moja Kwa moja apate majibu mubashara !?
Tena, yeye si anajiita rais wa TLS, basi akaongee na rais mwenzake atapata majibu muruaaa kabisa.
Mbona, anawatega wabunge ambao hawana majibu hayo!

Mfano mzuri ni kwa wezi wa kura wa CCCM Napee na KinamnaHaya maneno ya LISU unaweza ukayapuuza tu kwa leo. Ila ukweli umeanza kuonesha kuwa hata wale waliokuwa wanadhani wao wako salama kabisa hali ni tofauti sana kwa sasa.
Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
U are not a patriotic but a hypocrite,kukosoa matamshi ya rais is part of democracy sababu rais sio mtakatifu
Shida yako ni moja tu, unataka nimtukane, nimlaani au kumlaumu Rais Dr. Magufuli...
I will never ever do that, as longer as I am a patriotic Tanzanian!
Zaidi, nikwambie, hata kama Lowasa au Mama yule wa ACT wazalendo angeshinda na kuwa rais wa nchi yangu kamwe , sitakaa nimseme vibaya Rais wa nchi yangu.
Tundu Lissu akichangia bajeti habari, sanaa na michezo amesema katiba yetu imeondoa mipaka ya uhuru wa habari na kipindi kuanzia mwaka 2015 uhuru wa habari unakabiliwa na hatari kuliko kipindi chochote,
Amemuuliza waziri wa katiba na sheria kuwa rais aliposema hadharani kuwa waandishi wa habari hawana uhuru kiasi hicho kwa kutangaza habari za migogoro ya wakulima na wafugaji alikuwa ameshauriwa na mtu au ni yeye mwenyewe?
Amesema kuna mambo mabaya yanafanyika lakini wabunge wanayazuia yasihojiwe bungeni ila baada ya muda na wao wataanza kushughulikiwa na hakutakuwa na kelele
Akili zako kama za panyaTL, asijitoe ufahamu.
Yeye si anajua nyumbani kwa Rais Dr. Magufuli, kwa nini asifunge safari akamuulize moja Kwa moja apate majibu mubashara !?
Tena, yeye si anajiita rais wa TLS, basi akaongee na rais mwenzake atapata majibu muruaaa kabisa.
Mbona, anawatega wabunge ambao hawana majibu hayo!
Weka tusi moja tu ambalo amewahi kutukanwa Rais na wapinzani!