Lakini uangalie piahuyo RAISunaetataka kumuheshimu ni waaina gani, hivi leo ukaniambie ni muheshimu JACOB ZUMA kwa lipi? ndo kamahuyu wa kwako siwezi kumheshimu kama Babayangu na mama yangu hata siku moja.Baba na mama yangu ni levo nyingine kabisa ukiwalinganisha na Magufuli sijui ni kuchape vibao vya hewani ingawaje sikufahamu.Elewa rais ni Kama Baba au Mama kwenye familia.
Sasa, wewe Kama unakaa unawatukana au kuwasema vibaya wazazi wako unamatatizo sana hata kama leo unajiona uko vizuri ila pana la kukutokea ndipo utakumbuka ulivyowasema au kuwatukana wazazi wako.
Unavyoheshimu wazazi wako heshima iyo hiyo iwe kwa rais wa nchi yako.
Kwa hiyo siyo kiapo ila ni nidhamu kwa kiongozi mkuu wa nchi.