KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Nadhani itabidi nirudi hapa nipambane na vilaza kama huyo hapo 'digba'.Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Huyu hata darasani alikuwa mbuzi kabisa, na leo ndio wanaoendesha nchi na kuitummbukiza shimoni. Ndiyo maana hajui maana ya kuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa uelewa wa mambo.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Ili Tanzania irudi kwenye misingi yake, ni lazima tuheshimu elimu za watu na uwezo unaotokana na elimu waliyonayo.
Nchi imekuwa ya hovyo hovyo, kwa sababu ya watu kama huyu hapa 'digba' wanaoshiba kwa vile tu wapo ndani ya chama. Uwezo wa kufanya jambo lolote la maana hawana.