Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Kabisa mkuuTu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Huyo anachuki binafsiUpumbavu ni mzigo mzito kuliko ujinga! Mleta mada anataka waliosoma nae watoe ushuhuda - wewe unawelezea siasa zake, makazi yake na hata ubinafsi wake!! Ninashukuru kuwa hujanifundisha, sijui ningekuwaje kutoka hao laki tano walipitia mikono yako (i dispute that fugure, though - labda unafundisha elimu ya msingi na shule za mijini zenye wanafunzi wengi).
Nikukumbushe! Kila binadamu ana faida zake kwa jamii. Kwa hakika TL ana impact kubwa kwa nchi hii kuliko yako kwa wanafunzi laki 5. Wewe unamfahamu - yeye anaweza kuwa hata hakufahamu!! Jisikie vibaya sana kuwa TL unayemsema kwa mabaya anajulikana kuliko wewe!! Hao laki tano waliopitia mikononi mwako una hakika hakuna utakayejisikia vibaya akikutaja wewe kama mmoja wa walioaharibu maisha yake??
Ninaweza kusema hiki - hukupaswa hata kuwa mwalimu. Uelewa wako kwenye jambo hili umekuwa si sawa. Umepoteza watu laki 5 kama nao wako na uelewa wako! Nilitarajia uje hapa kumwelezea TL akiwa na kama mwanafunzi aliyefaulu vizuri!! Ndio mada.
I like your commentBora UDSM walimtosa ,maana kuna tofauti ya kujua na ubishi
Una ufahamu mdogo sana kumhusu Tundu Lissu, tafuta habari kuliko kuonekana kichekeshoSasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Ni alama ya nini kama siyo genius? Au wa mwisho ndo genius?Kuwa best student siyo alama ya kuwa genius
Mkuu pita kwenye Hansard za bunge letu wakati akiwa mbunge na pia omba wakupe kumbukumbu za mjadala wa bunge la katiba halafu waulize maspika waliongoza mabunge hayo watakwambia Uwezo wa nguli huyu.😡😡 But he seems, talks and looks arrogant in real life. Being best in class doesn't mean you will be the best in streets or real life, Lissu seems stupid. Wote mnajua hilo. Na hii ndio tofauti ya Elimu na Maisha halisi, maisha halisi unaangukia pua vibaya, ila elimu unafanya vema, Lissu has a very bad attitude, and almost zero impact katika jamii yetu, kazi kututia aibu tu huko ugaibuni, so CONCLUSION is failure.
Maisha ndio mezania kama umefanya vema au la. Sijui naeleweka.
Maisha sio straight line, lazima utumie elimu ya darasani, ujanja, busara, hekima, nidhamu, kuomba baraka za Mwenyezi Mungu, afya njema na kufanya kazi zako kwa bidii zaidi kila kukicha hasa kwa kufikiri sana sio misuli sana. Niishie hapa.
Vyama vimetufarakanisha hata pale ambapo tunamhitaji mtu kama.Mkuu pita kwenye Hansard za bunge letu wakati akiwa mbunge na pia omba wakupe kumbukumbu za mjadala wa bunge la katiba halafu waulize maspika waliongoza mabunge hayo watakwambia Uwezo wa nguli huyu.
Uelewa wako juu yake nadhani hauko juu ya misingi sahihi, mtazame ukiwa bila miwani ya itikadi za vyama!
Kweli wewe ni fisi 2.Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana.
Siyo rahisi kumwelewa Lisu, hasa kama una akili ndogo.Siyo rahisi kumwelewa lisu.
Tuanze jimboni kwake Kwanza Cha u genious gani aliwafanyia wapiga kura wake .Bila kujali itikafi ya vyama ana Nini Cha kuonyesha alichofanya kwenye Jimbo lake? Tuna ushahidi wa mambo makubwa waliyofanya wabunge wa Chadema Kama Mbowe na Msigwa .Bila kujali vyama tunakubaliMkuu pita kwenye Hansard za bunge letu wakati akiwa mbunge na pia omba wakupe kumbukumbu za mjadala wa bunge la katiba halafu waulize maspika waliongoza mabunge hayo watakwambia Uwezo wa nguli huyu.
Uelewa wako juu yake nadhani hauko juu ya misingi sahihi, mtazame ukiwa bila miwani ya itikadi za vyama!
Nenda Tarime upate shuhuda uone alivyookoa wengiSasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Siasa mbovu zimefanya majimbo ya upinzani yasipewe kipaumbele kwenye miradi ya maendeleo.Tuanze jimboni kwake Kwanza Cha u genious gani aliwafanyia wapiga kura wake .Bila kujali itikafi ya vyama ana Nini Cha kuonyesha alichofanya kwenye Jimbo lake? Tuna ushahidi wa mambo makubwa waliyofanya wabunge wa Chadema Kama Mbowe na Msigwa .Bila kujali vyama tunakubali
Yeye Lisu Cha maana alichofanya jimboni kwake Nini? Charity begins at home sio bunge la katiba Wala sio charity begins at Hansard report!!! Wala sio charity begins at Voice of America or BBC talk!!!!
Sishangai kama ilikuwa hivyo, maanake haonyeshi kuwa anao uelewa wa mambo. Huko ndiko CCM ilipotufikisha. Wanabandika tu watu kwenye nafasi yoyote bila ya kujali uwezo wa mtu katika nafasi anayowekwa.Nasikia maza alikuwa anapata masikio
Humjui Tundu Lisu.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Pole yetuSishangai kama ilikuwa hivyo, maanake haonyeshi kuwa anao uelewa wa mambo. Huko ndiko CCM ilipotufikisha. Wanabandika tu watu kwenye nafasi yoyote bila ya kujali uwezo wa mtu katika nafasi anayowekwa.
Huyo hana msaada bali hasara kwani inaonyesha anafelisha watotoHumjui Tundu Lisu.
Rejea Mgosi wa nyamogo pale wananchi walipoandamana kutokana na kubainika ngozi kwasababu ya maji yaliyokuwa yakitililishwa na huo mgodi walihukumiwa kifungo cha maisha ,Tundu Lisu alienda kuwatetea bure mahakamani na akashinda kesi.
Kesi nyingi Amesaidia wananchi ,Si sawa na wewe ambaye unafundisha wanafunzi ambao wengi wao umewapatisha division 0.
Misaada wa Tundu Lisu ni mkubwa kuliko hicho kijimsaada. Chako. Uchwara cha kusomesha wanafunzi felia.