Lissu ni kama ‘steringi’ katika muvi ya ‘action’

Acha mihemko, unadhani ccm ni kama saccos yako iliyoko mfukoni mwa mtu mmoja?. CCM ni chama kinachojitambua, chenye mikakati chungu nzima. Utalijua hilo Oct 28.
 
Ushindi wa JF labda.
Humu ndio cdm mmejaa huko kwingine hakuna kitu.
Na zile Id's za wanaolipwa zimejaa hahaa.
 
Acha mihemko, unadhani ccm ni kama saccos yako iliyoko mfukoni mwa mtu mmoja?. CCM ni chama kinachojitambua, chenye mikakati chungu nzima. Utalijua hilo Oct 28.
Ingekuwa Kama unavyosema isingetoa form1 yakugombea uraisi, naingekuwa hivyo isingezarau maamuzi ya wajumbe walieamua kumpa uwakilishi mgombea namba1 harafu akarudishwa namba2,3,4 je,huu so usaccos?
 
Na Sasa Shujaa Lissu anapigana Vita vya mjini,mtaa kwa mtaa,"Street Fighting"
Baada ya Muda atarudi msituni.
Hii ni kuwachanganya maadui zake.
Na inasemekana wamekwisha changanyikiwa.
Mbinu anazotumia zilitumiwa na Red Army wakati wa WWII pale Berlin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…