Lissu ni kama ‘steringi’ katika muvi ya ‘action’

Genta I bet! Magufuli is not our President 2020 - 2025. Kwa niliyosikia yanayoendelea ndani ya Chama cha mapinduzi tena kwa usiri mkubwa sana. No way. Hashindi. Mbaya zaidi wakubwa waneshakuwashia taa nyekundu. Anayopitia haya na tofauti na aliyopitia Kabila hadi akaamua kutoka na Aliyopitia Nkurunziza hadi nae akaamua aage tu!!

Mambo ni magumu sana kwa Magu, usione kina bashiru wanajilopokea tu hovyo huko Kagera
Acha mihemko, unadhani ccm ni kama saccos yako iliyoko mfukoni mwa mtu mmoja?. CCM ni chama kinachojitambua, chenye mikakati chungu nzima. Utalijua hilo Oct 28.
 
Ushindi wa JF labda.
Humu ndio cdm mmejaa huko kwingine hakuna kitu.
Na zile Id's za wanaolipwa zimejaa hahaa.
 
Acha mihemko, unadhani ccm ni kama saccos yako iliyoko mfukoni mwa mtu mmoja?. CCM ni chama kinachojitambua, chenye mikakati chungu nzima. Utalijua hilo Oct 28.
Ingekuwa Kama unavyosema isingetoa form1 yakugombea uraisi, naingekuwa hivyo isingezarau maamuzi ya wajumbe walieamua kumpa uwakilishi mgombea namba1 harafu akarudishwa namba2,3,4 je,huu so usaccos?
 
Na Sasa Shujaa Lissu anapigana Vita vya mjini,mtaa kwa mtaa,"Street Fighting"
Baada ya Muda atarudi msituni.
Hii ni kuwachanganya maadui zake.
Na inasemekana wamekwisha changanyikiwa.
Mbinu anazotumia zilitumiwa na Red Army wakati wa WWII pale Berlin
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom