Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

Naunga mkono HOJA.

Lissu angalau anaeleweka, na akiongea anamaanisha.

Tuhakikishe bila Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya, haufanyiki uchaguzi wowote!!

Kila mtu ana mapungufu yake ila wengine ni umbumbumbu zaidi. Wanadhani siasa ni Simba au Yanga.

Tuutafute umoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

Timu ya ushindi hIyo hapo.

Kama jina lako halikutajwa jitafute kwenye "wa namna hIyo."

Wanatakiwa waliodhamiria na kuamini kwenye uhuru, haki, usawa na demokrasia Kwa maneno na Kwa vitendo.
 
Kutokuliandika Jina la Mzee wetu "Warioba",

List haikamiliki!!
 
Kutokuliandika Jina la Mzee wetu "Warioba",

List haikamiliki!!

Mkuu wako wengi. Ukiona hajatajwa atakuwa kwenye wa namna hIyo. Huwezi kuwataja wote.

Mzee Warioba yuko humu:

"2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk, wa zama zetu.

Unaiona "nk" pale? Ni wazi kuwa hawaingii kina komando, kol*mba au walamba asali wengine humo.
 
Hauna kifua cha kuhimili tofauti za mitazamo, nahofia utaanza matumizi ya zile lugha zako unazozijua, unless nikuunge mkono ndio unapenda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hauna kifua cha kuhimili tofauti za mitazamo, nahofia utaanza matumizi ya zile lugha zako unazozijua, unless nikuunge mkono ndio unapenda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

1. Hoja hupingwa kwa hoja.

2. Fahamuni imani, misimamo na protokali za chama.

3. Kuweni na heshima mjue kauli za Lissu ni kauli za chama:

IMG_20231218_004139.jpg

4. Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

5. Mnatia huruma kwa sababu hamjielewi wala kujihurumia.
 
Mara buku CCM waendelee kutuchuna kodi zetu kuliko kuwapa nchi Mashoga!
Yaani watu wa aina yako kuendelea kuishi ulimwengu huu ni neema ya Mungu tuu, lakini kwetu wanadamu hungestahili kuendelea kuwa nasi maana hata sokwe anakuzidi akili.
 
Nchi za kiafrika huwa zinaongozwa kwa 'rimoti kontrol' toka kwa mabwanyenye...

Wabonyeza rimoti huwa hawapendi watu wenye kuhoji hoji kama hao kina TAL, JPM, Mugabe, Gadaffi n.k

Huwa wanapenda ngoma tupu au dafu bila maji...
Umenena !!
 
Yaani watu wa aina yako kuendelea kuishi ulimwengu huu ni neema ya Mungu tuu, lakini kwetu wanadamu hungestahili kuendelea kuwa nasi maana hata sokwe anakuzidi akili.

Usingae mtu kama huyo ni CHADEMA au kuna Chadema wakiwamo viongozi wenye kumwuunga mkono.

Kuwa watu hao, denoo JG hawajishangaa ila eti wanakushangaa, yaani hawawezi kuelewa.

Wa kazi gani watu hao?
 
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.

View attachment 2845647

"The lord can't forget his people."

Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:

1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili.

2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk wa zama zetu.

3. TAL ni wa aina za kina Shivji, Ulimwengu, Kingunge, Chachage, Mtikila, Maalim Seif na wa namna hiyo; akiwaongelea Nyerere kama vijana jeuri wa zama zake alioota mno watanzania tuwe nao siku zote.

4. TAL ni wa aina ya kina Mwabukusi, Slaa, Ismail Jussa, Nshalla, Madeleka na wa namna hiyo wa zama hizi.

5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake.

6. TAL ni hazina ya thamani mno, lulu au dhahabu safi kwa taifa hili.

7. Kina Mdude ni wa aina ya kina TAL wanaokosa elimu ya kutosha; elimu haina mwisho hawa ni hazina inayo hitaji nurturing ya akina Lissu, Slaa, Mwabukusi na wa namna hiyo; ukikaa na waridi nawe utanukia; kina Mdude watafika kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.

8. TAL apewe nafasi aionyooshe CHADEMA; tunahitaji mageuzi ya msingi ndani ya chama hiki pendwa, sasa!

9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?

10. Ni upuuzi watanzania kukosa heshima au shukurani; kwani wapuuzi hata hawajui heshima wala inatokea wapi:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

11. Ni upuuzi watanzania kukosa nidhamu kwani wasiokuwa na nidhamu hawajui hata umuhimu wake:

Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

12. Ni ujinga uliopitiliza watanzania kutojua tofauti za vyama; kwanini vinatofautiana au hata vinasimamia nini:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

13. Combination hii ni ya kutafuta kwa udi na uvumba panapo majaliwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

14. #13 ni combination ya ushindi.

Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.

Mungu umbariki TAL.
Kichwa yako haiko sawa
 
1. Hoja hupingwa kwa hoja.

2. Fahamuni imani, misimamo na protokali za chama.

3. Kuweni na heshima mjue kauli za Lissu ni kauli za chama:

View attachment 2845734

4. Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

5. Mnatia huruma kwa sababu hamjielewi wala kujihurumia.
Unalazimisha tu mambo, kauli ya Lissu haiwezi kuchukuliwa kama kauli ya chama kwa sababu yoyote ile, chama hutoa tamko pale ambapo watakutana wajumbe kisha kuja na msimamo mmoja, jambo ambalo halijafanyika popote.

- Mbona hujui vitu vidogo hivi?!

Kama unaamini kauli ya Lissu ni kauli ya chama kwa sababu yoyote ikiwemo cheo chake, vipi kesho akijitokeza KM akatoa kauli ya tofauti na ile aliyotoa Lissu kuhusu jambo alilozungumzia Lissu?

Huoni hapo kinachotokea ni uhuru wa mtu kutoa maoni yake, bila kujali nafasi yake kwenye taasisi aliyopo?

Vipi ikitokea kauli za viongozi wawili zikatofautiana, zote zitakuwa kauli za chama? hapo patakuwa na chama au vurugu? au kwako ni kauli za chama kwasababu amesema Lissu?!

Au unasema kauli ya Lissu ni kauli ya chama kwasababu ametoa maoni ya kukupendeza, vipi kama angeongea Mbowe tofauti na kile alichosema Lissu, nae ungesema kauli yake ni kauli ya chama? hivi hujioni unavyosumbuliwa tu na ushabiki wako kwa Lissu?!

Jitahidi ujue kutofautisha haya mambo na usiweke mahaba kupitiliza kwa mtu, hiyo kwa kiasi kikubwa itakupunguzia ufahamu wako, na uwezo wa kuchambua mambo.

See you!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Usingae mtu kama huyo ni CHADEMA au kuna Chadema wakiwamo viongozi wenye kumwuunga mkono.

Kuwa watu hao, denoo JG hawajishangaa ila eti wanakushangaa, yaani hawawezi kuelewa.

Wa kazi gani watu hao?
Ona ulivyokosa self control, una uwezo mdogo wa kupembua mambo.

Huyo Chakaza amem quote mdau mwingine pale juu, ndio akatoa maoni yake kumhusu, ajabu wewe unaitumia hiyo comment ya Chakaza kunihukumu mimi, wewe jamaa una upungufu mkubwa sana wa uelewa na ni mwepesi sana wa ku-panic kwenye haya mambo.

Zaidi unasumbuliwa na vimelea vya kidikteta, tangu jana nimekuona, kile unachotaka wewe ndio lazima kiwe, ukipingwa, unamfukuza mwenzio chamani!.

Kama unaona mambo ni mepesi hivyo, mwambie Lissu muanzishe chama chenu, then uwachukue ndugu zako na marafiki zako uwapendao, uwape hilo somo lako la imani na msimamo, ili muishi pamoja milele!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sasa Chama cha kijani na hao upande wa pili wana tofauti gani?? Wote ni walewale tu! Tena bora hawa CCm, hao ndugu zako watatuletea vita na sheria za kiboya kwenye nchi hii!!

Kaa kwa kutulia subiri vijana wenye akili timamu watatuletea mapinduzi ya kweli na chama cha siasa bora nchini.

Maendeleo ya kweli yanakuja lakini hayatoletwa na hiko chama chako.
Narudia tena Bora CCM kuliko hao ambao hata chama chao wanashindwa kukiongoza.
Ndio uwaite mashoga? Umehukumuje kuwa ni mashoga kama unazo akili timamu na sio zilizozidiwa hata na sokwe?
Sikiliza, kama hiyo CCM yako ingekuwa haija waweka makada wao kuwa viongozi wa vyombo vya dola kusimamia wizi wa kura, basi siku nyingi ingekuwa imejifia kama KANU kule .
Ila kwa taarifa yako vijana wengi maofisa kwenye vyombo vyetu vya dola wameanza kubadilika mindset zao baada ya kuyaona ya huko Burkina Faso, Niger, Guinea nk na ccm wakiendelea wizi wa kura wataamua hatma ya nchi kwa njia zisizo hekima.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom