Lissu, Mnyika, Lema na wenzao 'wamepotea'

Lowasa aliondoka na pepo lake la ufisadi
nw ccm iko bomba

Wewe upo kuzimu nadhani, ivi lowassa iyo skendi ni ya lini? je ufisadi hakuendelea kwa miaka nane hadi leo hii? wewe jitambue siyo unajurupuka tu kuongea afu ndo maana lowassa anasisituza elimu! elimu! jamani mko wapi!?
 
Mwakalebela Kaatamia mtu huku, Mchunga Ng'ombe anatapa tapa tu hukuuuuuu
 
Lisu
lema
Mnyika
Na
nasari
wana hali mbaya sana jimbon kwao
Na hawatarud tena bungen labfa kwa mualiko wa spika

Sugu nmeamua kumtofautisha kidogo na kund hilo juu
Maana hali yake jimbon n mbaya sanna kias kwamba imefikia hatua wananchi wannamshambulia kwa mawe
Hawatak hata kumuona

Kuhusu suala la ufisad
Hawawez kulizungumzia tena
maana muasisi wa ufisad tayari wanae huko
Na wanajua kinachofuata ukimsema vbaya
Nkupata ajari na kutokea kwenye kioo cha mbele na kufa hapo hapo na brief case yako
bila hata mchubuko wowote wala kuvuja damu

Unajisikia kupoteza mda wako kuandika pumba kama hizi kiongozi??? why dont u discuss something positive with your wife rather than wasting your tym writting nonsense!!
 
Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?

Unauliza kwa kua kuna pahala ulizoea kuwaona au wauliza kwa kua hujui huu ni mda wa kampeni? Au umejisikia tu na wewe kuanzisha katopic kako humu? Tembelea majimbon kwao utawakuta!! Next tym waza vema kabla ya kuandika
 
Lisu
lema
Mnyika
Na
nasari
wana hali mbaya sana jimbon kwao
Na hawatarud tena bungen labfa kwa mualiko wa spika

Sugu nmeamua kumtofautisha kidogo na kund hilo juu
Maana hali yake jimbon n mbaya sanna kias kwamba imefikia hatua wananchi wannamshambulia kwa mawe
Hawatak hata kumuona

Kuhusu suala la ufisad
Hawawez kulizungumzia tena
maana muasisi wa ufisad tayari wanae huko
Na wanajua kinachofuata ukimsema vbaya
Nkupata ajari na kutokea kwenye kioo cha mbele na kufa hapo hapo na brief case yako
bila hata mchubuko wowote wala kuvuja damu

Ama kweli siasa bila uongo kwa iman yako unadhan ukiwaaminisha watu kwa uongo kua mbunge fulan hapendwi jimbon kwake ndo watu wataacha kumpgia kura. Nipo Mbeya mjini hakuna mbunge anaekubalika zaid ya SUGU jimbon hapa. N uongo na upotoshaji mkubwa kusema eti Sugu hapendwi kias wananchi wanamrushia mawe maana halijawahi kutokea tukio kma hilo poor you!!!!!!!!
 
Makamanda wako busy Ufisadi uko CCM Au Change Na mama tibaijuka hawapo?

Ulipata mgao wa fisad huyo alipo kuwa anaingia chadema kila mwanachama alipewa chake vp au mbowe alikulaba mkono
 
nani kaiondoa ile abari iliyokuwa inasema Makufuli kazikataa kura za wakristo?maana nilkuwa sijaisoma aliyoisoma tafadhali animegee kidogo maana kama kazikataa kura za wakristoasitegemee kwa waislamu maana Pombe ni haramu
 
Magufuli kalipa wakandarasi hewa 951.7million
Pia kasababisha serikali ilipe
124 billion kama fine
Yani pesa za umma zinafanywa za kufanyia mchezo kila sku mikodi kiba
Huyu magufuli ni hatari kwa taifa hili
Pia uhuru wa vyombo vya habari atautia mfukoni
 
lisu kashashinda jimboni kwake anasubiri kuapishwa. sugu ndo kabisa..
 
Kumbe CCM mnatambua kuna ufisadi...

Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?
 
Jipe matumaini maana hujui unachokisema,hapa Arusha LEMA ana zaidi ya 90% ya kushinda ubunge,na jana nilikuwa naye pale mitaa ya Nakumat.Shida ya kutumia makalio kufikiri acha propaganda na mambo usiyoyajua! 25/10/2015 haiko mbali utakuja tena kusema nini?

Lisu
lema
Mnyika
Na
nasari
wana hali mbaya sana jimbon kwao
Na hawatarud tena bungen labfa kwa mualiko wa spika

Sugu nmeamua kumtofautisha kidogo na kund hilo juu
Maana hali yake jimbon n mbaya sanna kias kwamba imefikia hatua wananchi wannamshambulia kwa mawe
Hawatak hata kumuona

Kuhusu suala la ufisad
Hawawez kulizungumzia tena
maana muasisi wa ufisad tayari wanae huko
Na wanajua kinachofuata ukimsema vbaya
Nkupata ajari na kutokea kwenye kioo cha mbele na kufa hapo hapo na brief case yako
bila hata mchubuko wowote wala kuvuja damu
 
Wewe upo kuzimu nadhani, ivi lowassa iyo skendi ni ya lini? je ufisadi hakuendelea kwa miaka nane hadi leo hii? wewe jitambue siyo unajurupuka tu kuongea afu ndo maana lowassa anasisituza elimu! elimu! jamani mko wapi!?

Hata yule mwanangu wa mwsho ukimkurupusha usingizin ukmuuliza nan fisad atakujibu n lowasa

Sitak kuamn kama naye amekuzid upeo

Acha kushabikia majambaz ww
Unaowasema watuhumiwa wa escrow wanagombea urais?

Najua magufuli amewashika pabaya mwaka huu
Na yule jamaa atawafunga yule na fisad wenu lowasa

Tazama Magufuri yuaja upes na mahakama ya mafisadi
 
Jipe matumaini maana hujui unachokisema,hapa Arusha LEMA ana zaidi ya 90% ya kushinda ubunge,na jana nilikuwa naye pale mitaa ya Nakumat.Shida ya kutumia makalio kufikiri acha propaganda na mambo usiyoyajua! 25/10/2015 haiko mbali utakuja tena kusema nini?

Acha kutundanganya ww week iliyopita nilikuwa arusha
Watu hawamtak hata kumuona
Wanasema hakuna alichokifanykazi kuandaa maandamano tu
Na kupitia hayo maandamano wamepoteza ndugu zao wengi
Wengine wamekuwa walemavu

Kubwa zaid n kumpuuza dkt slaa
 
Ama kweli siasa bila uongo kwa iman yako unadhan ukiwaaminisha watu kwa uongo kua mbunge fulan hapendwi jimbon kwake ndo watu wataacha kumpgia kura. Nipo Mbeya mjini hakuna mbunge anaekubalika zaid ya SUGU jimbon hapa. N uongo na upotoshaji mkubwa kusema eti Sugu hapendwi kias wananchi wanamrushia mawe maana halijawahi kutokea tukio kma hilo poor you!!!!!!!!

Hakuna asiejua kwamba sugu alipigwa mawe mbeya
Vyombo vyote vya habari vilirusha tukio hilo kwenye taarifavya habar

Msigwa iringa harud bungen yule
Hata tuweke dau

Mnyika kibamba ndo kabisa anapigwa asubuhi
Hana alilolifanya ubungo
labda uniambie mnyika kafanya nn ubungo?

Tatzo wabunge weng wa chadema wenzao walipokuwa busy kuleta maendeleo majimbon kwao
Mnyika alikuwa busy kukusanya sain za wabunge

Sugu alikuwa busy kung'oa maik za bunge na kuleta vyrugu bungen na lugha za matus nying

Kaz yao ilikuwa n kutoka bungen kama nyumbu vile na kuacha wenzao wanajadili vitu vya msing
Kitu ambacho wananchi wao kilikuwa kinatukera
Ma hivyo tumejiapuza kutofanya tena hayo makosa
 
Na wewe umejipinda kuandika post pumba kama hii,ama kweli duniani watu tynatofautiana.😀
 
Unatumiwa wewe sio bure,mimi nazungumzia jana,wewe unasema wiki iliyopita, any way sio kosa lako!!!!

Acha kutundanganya ww week iliyopita nilikuwa arusha
Watu hawamtak hata kumuona
Wanasema hakuna alichokifanykazi kuandaa maandamano tu
Na kupitia hayo maandamano wamepoteza ndugu zao wengi
Wengine wamekuwa walemavu

Kubwa zaid n kumpuuza dkt slaa
 
Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?

Lema yupo Arusha utamuona Leo akitema cheche kwenye mkutano Wa mhe rais ajaye.
Nasari nadhani ulimuona akikusanya lundo la kadi za ccm juzi Monduli na Mnyika yupo Dar na Pwani akiweka nguvu kwa wabunge wa ukawa.
 
Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?

Mwambie Chenge, Ridhiwan, Tibaijuka, Muhongo, Ngeleja, Mwambalaswa, Matrein Mabovu yanayoanguka Ovyo yaani Mwakyembe wapige vita Ufisa wa Tegeta Escrow.
 
Back
Top Bottom