georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Lowasa aliondoka na pepo lake la ufisadi
nw ccm iko bomba
Akina Chenge wako Ukawa?
Lowasa aliondoka na pepo lake la ufisadi
nw ccm iko bomba
Hawana jipya fisadi papa kawaweka mfukoni
Lowasa aliondoka na pepo lake la ufisadi
nw ccm iko bomba
Lisu
lema
Mnyika
Na
nasari
wana hali mbaya sana jimbon kwao
Na hawatarud tena bungen labfa kwa mualiko wa spika
Sugu nmeamua kumtofautisha kidogo na kund hilo juu
Maana hali yake jimbon n mbaya sanna kias kwamba imefikia hatua wananchi wannamshambulia kwa mawe
Hawatak hata kumuona
Kuhusu suala la ufisad
Hawawez kulizungumzia tena
maana muasisi wa ufisad tayari wanae huko
Na wanajua kinachofuata ukimsema vbaya
Nkupata ajari na kutokea kwenye kioo cha mbele na kufa hapo hapo na brief case yako
bila hata mchubuko wowote wala kuvuja damu
Mkuu tumewaambia zamani hawakutaka kuamini nadhani ndo wanashtuka!
Safari hii hata viti vya wabunge chadema watapoteza vingi tu.
Safari hii hata viti vya wabunge chadema watapoteza vingi tu.
Hata yule mwanangu wa mwsho ukimkurupusha usingizin ukmuuliza nan fisad atakujibu n lowasa
Sitak kuamn kama naye amekuzid upeo
Acha kushabikia majambaz ww
Unaowasema watuhumiwa wa escrow wanagombea urais?
Najua magufuli amewashika pabaya mwaka huu
Na yule jamaa atawafunga yule na fisad wenu lowasa
Tazama Magufuri yuaja upes na mahakama ya mafisadi

Watuhumiwa wa Escrow hawagombei Ubunge?
Baadhi wanagombea, ila HAWAGOMBEI urais. Hii ya urais na utuhumiwa, ni kudharau watu!
Yuko wapi Lema? Yuko wapi Mnyika? Tundu Lisu, Sugu, Msigwa na Nasari? wamejificha wapi? mbona siwasikii wakikemea ufisadi?
Na wewe umejipinda kuandika post pumba kama hii,ama kweli duniani watu tynatofautiana.😀