Lissu maisha yake yapo hatarini

Unaweka picha ya huyo Mhindu anayeabudu masanamu πŸ˜„πŸ˜
..kumbe hujaelewa hiyo ngeli, huyu hana object yoyote ya kuabudu (atheist), kama wewe unavyoiabudu hiyo defunct CDM
 
Lissu hatakufa kwa sasa hadi ashuhudie dikteta mke anaenda kunyongwa kwa kumwaga damu za Watanganyika.
 
Umeandika upuuzi wa hali ya juu mno.

Wanaondoka Mamluki, ambao wamekuwa wanaongozwa na NJAA, NJAA ilotoka tumboni kuhamia kichwani.

Wache watumie haki yao, CHADEMA ni taasisi imejengwa kwenye mioyo ya watu!!!

Mwache Kigaila amfuate KUNTI MAJALA 🀣🀣
 
If Dkt Magufuli Died na tukalia na wengine wanashangilia, kila mmoja atakufa kwa wakati wake, na kila mmoja anakufa kwa kisababishi chake. Kosa kubwa na Lisu ni kudhani Dkt Magufuli alikuwa mbaya wake bila kutambua kuwa ni mfumo ambao upo ambao haujalishi nani ni rais, Daudi Mwangosi aliuawa kinyama mchana kweupe na rais alikuwa Dkt Kikwete hata wengine wote waliokufa ndiyo huo huo mfumo hebu fikiria dodo mbobezi angeweza kuondolewa kiurahisi hivyo??? Mfumo hauna mtu na hauna rafiki, ukifika muda haukuhitaji hata kama ulikuwa sehemu ya huo mfumo kama Ben Mkapa unapita na wewe tu, yaani hata kama ulikuwa kama Dkt Magufuli au Kolimba au Nyerere au Gama yaani mfumo hauna huruma!
 
Wanaoondoka ni wachagga tu, why?
Something planted on them. Hiyo ni way forward ya waliotaka na wanaotaka kuzuia reforms. Na ni approach ambayo ni mbaya sana itakayojenga chuki ya Chaggas nchini dhidi ya wapenda mabadiliko.
 
Hawa wanaoondoka ni watu wenye akili timamu, kucukulia poa kuondoka kwao ni sawa na kujisaidia njiani mwili wote upo hadharani kwa kuwa tu umeuficha uso
Wao wa kwanzq Kuhama chama? Mbona hakuna jipya?

Yaani watu walishazoea kujipa vyeo wao tu na posho , SS mambo yamebadirika wanalialia πŸ˜‚πŸ˜‚

Waende tu wengine wataingia Mungu ana watu
 
Imebaki CHADEMA chakavu
 
Wao wa kwanzq Kuhama chama? Mbona hakuna jipya?

Yaani watu walishazoea kujipa vyeo wao tu na posho , SS mambo yamebadirika wanalialia πŸ˜‚πŸ˜‚

Waende tu wengine wataingia Mungu ana watu
Kwa hiyo ishu ni watu wapya na sio kushinda viti?
 
Kumbe ni kweli kwamba Mbowe alimuua Chacha Wangwe.
 
Anayetaka kutoka CHADEMA ni ruksa.No Reform No Election.RUSHWA NI ADUI WA HAKI.
 
Lissu ndio mpinzani wa kweli wa ccm. Inachofanya ccm ni kumdhibiti in any means, parallel and perpendicular. Ona chama anachokiongoza kimeharibiwa na mamluki. Kama vipi aachane na siasa za upinzani za nchi hii japo anaungwa mkono na wananchi wengi, aende tu kuishi uhamishoni for the rest of his life. Tujue moja tu nchi hii ni ya chama kimoja, hivyo vyama vingine ni project tu ya ccm. Na sisi wananchi turudi kwenye mfumo wa kale wa kuchagua wawakilishi wetu wa chama kimoja, siasa za magumashi hatuzitaki karne hii
 
Chadema wapo imara sana hao wanaojitoa sio chadema na Kama wangekuwa chadema wasingejiondoa. Wameona hawana nafasi ya kuwa chadema
 
ni kwa namna gani tutaondokana na huu mfumo katili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…