Lissu: Magufuli anatulisha matango pori, toka mwaka 1999 alikuwa anaunga mkono uuzwaji wa migodi, hicho kishika uchumba Accacia wako mahakamani

Salaam,
Nakutakia afya njema na nakuombe upone katika operesheni yako ya 23.

Masuala ya JPM Barrick, Accacia mwachie Mwenyewe, aliyeyaanzisha ndiye atakayeyamaliza, kama wewe unaendelea na ya kwako endelea!! Hujalazimishwa kulalamikia mambo yanayofanywa na mtu mwingine.

Yeye anafanya katika kile ambacho anaona sawa, kwa maana nyingine siyo lazima atumie ushauri wako katika kushughulikia mambo hayo. Umekuwa na tabia ya kuingilia namna Rais anavyofanya kazi zake sio sawa, mwache ashindwe au aweze mwenyewe, kama yeye amehakikishiwa watalipa basi subiri uone nini kitatokea, acha maneno maneno yako.
Angefanya kimya kimya bila kutoa taarifa hadi siku akizipata ndo atangaze.Urais ni "uwajibikaji kwa waajiri,Lissu ni miongoni mwao".Ana haki na tuna haki ya kuhoji,kujua na kutoa maoni.
 
Kuna watu wanajua wanadanganywa ila hawana la kufanya zaidi ya kumsadia kudanganya

Jiwe yupo point of no return maana akirudi kuyafanyia kazi maneno ya Lissu basi itakua kakubali Lissu hakua mpotoshaji bali yeye
Hiyo ndo shida yeye anaona kama atakua amefanyiwa humiliation, anasahau kua yupo kutumikia wananchi na si kujitumikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam,
Nakutakia afya njema na nakuombe upone katika operesheni yako ya 23.

Masuala ya JPM Barrick, Accacia mwachie Mwenyewe, aliyeyaanzisha ndiye atakayeyamaliza, kama wewe unaendelea na ya kwako endelea!! Hujalazimishwa kulalamikia mambo yanayofanywa na mtu mwingine.

Yeye anafanya katika kile ambacho anaona sawa, kwa maana nyingine siyo lazima atumie ushauri wako katika kushughulikia mambo hayo. Umekuwa na tabia ya kuingilia namna Rais anavyofanya kazi zake sio sawa, mwache ashindwe au aweze mwenyewe, kama yeye amehakikishiwa watalipa basi subiri uone nini kitatokea, acha maneno maneno yako.
Nyie si ndo mlituma balozi wenu wa marekani kuutangazia ulimwengu kua Tanzania kuna freedom of speech. Afu Leo mtu anatoa maoni unasema akae kimya tu.
Afu yeye ni mwakilishi wa wananchi lazima awaeleze ukweli watu waliomtumia na si kama nyie mnavyotaka kuwandanganya hao watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakwambia Lissu ni mgonjwa na akiongea utando mweupe waanzaa kutoka mashavuni kupitia mdomo huku akiomba msaada wa kusomesha wanaye
Mbona huo utando mweupe kama unamsema kabudi juzi kwenye press conference nimesimama mbele yake nimeshika mic acha nionge mimate.
 
wakati anayasema hayo dawa ya lignocaine (ganzi) ilikuwa imeisha mwilini, au bado hajajitambua

Kama wewe ndo mtumishi wa serikali ulivyofungua thread kusema umeona meseji mbowe akiomba magufuli amsamehe basi serikali imeajiri watu wapumbavu sana hii ndo point yako?
 
Kosa kubwa la Lissu ni kupambana na Magufuli na siyo CCM. Hapa ndipo simwelewagi kabisaa.

kwamba Mh JPM alikuwa anasuppoti uozo miaka ya 1999 and before kuwa RAIS SIONI KOSA HAPO maana hata Tundu Lissu alikuwa akisapoti kuwa ni Lowassa ni fisadi Lakini mwekekiti wa chama chake alipobadili gia angani akaja na lugha ya kumsafishA aliyempaka kinyesi kuwa siyo fisadi kwa kisingizio kuwa eti hakupelekwA mahakamani japo tulisema ni fisadi.

Walisema Eti Lowassa kwa kuhamia chademA basi ametubu. Sasa na kama Magufuli kipindi hicho alikuwa mzee WA ndiyoooo etc Leo Kama ametubu na kuanza kulinda rasilimali zetu hapo kosa liko wapi nikuilize Mr Lissu?? Acha kupambana na Magufuli utaumia bure!!
 
Salaam,
Nakutakia afya njema na nakuombe upone katika operesheni yako ya 23.

Masuala ya JPM Barrick, Accacia mwachie Mwenyewe, aliyeyaanzisha ndiye atakayeyamaliza, kama wewe unaendelea na ya kwako endelea!! Hujalazimishwa kulalamikia mambo yanayofanywa na mtu mwingine.

Yeye anafanya katika kile ambacho anaona sawa, kwa maana nyingine siyo lazima atumie ushauri wako katika kushughulikia mambo hayo. Umekuwa na tabia ya kuingilia namna Rais anavyofanya kazi zake sio sawa, mwache ashindwe au aweze mwenyewe, kama yeye amehakikishiwa watalipa basi subiri uone nini kitatokea, acha maneno maneno yako.
Anatimiza wajibu wake wa kikatiba...hatuwezi kumwacha afanye mambo yake kwa sababu yupo pale kwa niaba na kwa mamlaka ya wananchi. If it were within the lines of his individuality or family level then tungemwachia tuu..
 
Kosa kubwa la Lissu ni kupambana na Magufuli na siyo CCM. Hapa ndipo simwelewagi kabisaa.

kwamba Mh JPM alikuwa anasuppoti uozo miaka ya 1999 and before kuwa RAIS SIONI KOSA HAPO maana hata Tundu Lissu alikuwa akisapoti kuwa ni Lowassa ni fisadi Lakini mwekekiti wa chama chake alipobadili gia angani akaja na lugha ya kumsafishA aliyempaka kinyesi kuwa siyo fisadi kwa kisingizio kuwa eti hakupelekwA mahakamani japo tulisema ni fisadi.

Walisema Eti Lowassa kwa kuhamia chademA basi ametubu. Sasa na kama Magufuli kipindi hicho alikuwa mzee WA ndiyoooo etc Leo Kama ametubu na kuanza kulinda rasilimali zetu hapo kosa liko wapi nikuilize Mr Lissu?? Acha kupambana na Magufuli utaumia bure!!
Mi nadhani kwa mawazo yangu, Lissu anapambana na aliekua Waziri na sasa ni Raisi and not otherwise. Na hilo suala la Lowassa nadhani yeye kwa mawazo yake aliona vile. Na upande mwingine una haki ya kumpinga na kuthibitisha. Same as to now, hata kama katubu na kulinda rasilimali bado haki na wajibu wa kuhoji anao Lissu, na pia kujibu na kufafanua kwa upande wa serikali pia. Kwa maoni yangu lakini nnavyoona
 
Waliounga mkono hii mikataba ya kitapeli jana eti ndio hao hao leo wanajifanya wazalendo, watu ni wanafiki sana.

Hii hela USD 300 Million wanaowaomba hawa wazungu ni ya nini? Kwa nini wasidai walipwe ile USD 190 Billion wanayodai waliibiwa?

Inavyoonyesha hakuna madai yoyote serikali hii inadai hawa wazungu ila haya yameanzishwa kutaka kutafutia sifa feki ili tuone serikali inatupigania. Hamna kitu hapo ni sinema ya kutafuta kicks tu hapo.
 
Watu wa lumumba bana badala ya kujibu hoja za lissu nyie mnaleta vioja

Ningekuwa unapotaka niwe si ndio mngenikoma humu.. tuliza boli kutaka kunisukuma niandike unayotaka kusoma.. wewe umekatazwa.. tabu mnapenda kuvizia hoja za humu mkazitumie huko mnakokujua.. tumia akili zako acha kuvizia
 
wakati anayasema hayo dawa ya lignocaine (ganzi) ilikuwa imeisha mwilini, au bado hajajitambua

unajua lignocaine inatumika kama local analgesia, wewe ndio ufiche upumbavu wako local analgesia na kutokujitambua wapiwapi? Tatizo lenu lumumba mmeshikwa makalio kila kitu mnapenda ushabiki wa kipumbavu.

Ungekuja na idea ya CNS depressant kama vile trangulaizers/ sedatives plus dissociative anaesthetics ningekuelewa sio upuuzi ulioandika hapo kenge wa kijani wewe...

Sky Eclat
 
Ningekuwa unapotaka niwe si ndio mngenikoma humu.. tuliza boli kutaka kunisukuma niandike unayotaka kusoma.. wewe umekatazwa.. tabu mnapenda kuvizia hoja za humu mkazitumie huko mnakokujua.. tumia akili zako acha kuvizia
Wewe ndo hutumii akili badala ya kujibu hoja wewe unakuja na vioja
 
Eeeeeeeeh
sipangiwi cha kuandika humu..
na siandiki vile mnataka kunifanya mie mwalimu wenu wa siasa na maisha.. mpate elimu bure.. andika yako yangu tanakuwashawashia nini!!!💀
 
Back
Top Bottom