Kiwete ni mamayako aliekuzaa wew kiwete had ubongo.hawezi kuwa na kumbu kumbu kiwete

Ni baba yakohivi lissu ni mtanzania au mbelgiji?
Duuuh!!!hivi ni hizi siasa tu ndio chanzo cha haya yote au kuna kingine?Kiwete ni mamayako aliekuzaa wew kiwete had ubongo.
Ndugu! Upo sirias kwamba kiongozi aachwe afanye kama anavyoona inafaa? Kwani hii nchi ni mali ya mtu mmoja au waTZ wote?Salaam,
Nakutakia afya njema na nakuombe upone katika operesheni yako ya 23.
Masuala ya JPM Barrick, Accacia mwachie Mwenyewe, aliyeyaanzisha ndiye atakayeyamaliza, kama wewe unaendelea na ya kwako endelea!! Hujalazimishwa kulalamikia mambo yanayofanywa na mtu mwingine.
Yeye anafanya katika kile ambacho anaona sawa, kwa maana nyingine siyo lazima atumie ushauri wako katika kushughulikia mambo hayo. Umekuwa na tabia ya kuingilia namna Rais anavyofanya kazi zake sio sawa, mwache ashindwe au aweze mwenyewe, kama yeye amehakikishiwa watalipa basi subiri uone nini kitatokea, acha maneno maneno yako.
Mkuu muulizeni kwanza anakutana lini na Trump na Papa?.., baada ya kuwika kwa wiki mbili BBC,DW,VOA.. CNN na ALJAZEERA wakamtolea nje, anatafuta namna ya kuwika tena. Lissu hana jipya na ndo kwisha habari yake. Niliwaambia zile zilikuwa kelele,Sasa anaanza kurudia story zake zilezile za 1999.Kwa hiyo point yake ni nini sasa? Magufuli aachane na hawa wazungu au.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana haponi huyu, mishono inahitaji atulie yeye kutwa nzima kufungua bakuli.Anaandika #Tundu_Lissu
21.02.2019
'Nateseka' na hili suala kwa sababu 'nimeteseka' nalo toka mwaka 1999, wakati Magufuli 'akiunga mkono' juhudi za Rais Mkapa za kuuza utajiri wetu kwa wageni. Huu ni mwaka wangu wa 20 'nateseka' nalo na nitaendelea kuteseka nalo as long as nina pumzi.
Mnadanganywa na tunadanganywa na Magufuli na watu wake. Alipokuja President John Thornton mwaka jana, tuliambiwa Barrick watalipa 'kishika uchumba' (á la Prof. Kabudi) cha dola 300m.
Hawakulipa. Kwa nini??? Kwa sababu Acacia Mining walikataa. Badala yake walitufungulia kesi ya kuvunja mikataba yao ICSID, wanakotudai mabilioni ya dola.
Sasa amekuja President Willem Jacobs. Naye amesema Barrick watalipa 'kifuta machozi' cha dola 300m, lakini mpaka kwanza 'independent board of directors' ya Acacia Mining wakubali. Hao hao waliokataa kulipa mwaka jana wanatakiwa wakubali kulipa sasa.
Halafu kwenye press release yao iliyotolewa jana hiyo hiyo, Barrick wanasema ahadi zao hizo kwa Magufuli ni 'forward looking statements' ambazo, kwa kifupi, sio makubaliano yoyote yenye nguvu za kisheria. Hawafungwi na chochote walichokisema kwenye makubaliano yao na Serikali ya Tanzania.
Ndio maana nimesema someni hiyo disclaimer vizuri. Wazungu hawa sio wajinga. Wanasema hizo 'forward looking statements' zao zinaweza kuathiriwa na kesi au mashauri yanayoendelea mahakamani. Maana yake ni nini??? Wakitushinda kwenye kesi waliyotufungulia ICSID hawatatulipa.
Wanasema hizo 'forward looking statements' zao zinaweza kuathiriwa na faida au hasara katika uwekezaji wao. Maana yake ni nini??? Wakipata hasara hawatatulipa.
Sheria ya sasa ya Madini inasema mkataba wowote unaohusu madini unatakiwa kuwasilishwa Bungeni. Kama hawatulishi matango pori watayawasilisha makubaliano haya bungeni. Wasipoyawasilisha ujue ni matango pori.
Kitaalamu ni "ATROPHY"Kuna kanuni ya kisayansi inayosema kuwa kiungo kisichotumika baada ya muda hutoweka. Endelea hivyo hivyo na muda si mrefu ubongo wako utatoweka.
sio operation ni dressing ya kidonda.Salaam,
Nakutakia afya njema na nakuombe upone katika operesheni yako ya 23.
.
Mkuu muulizeni kwanza anakutana lini na Trump na Papa?.., baada ya kuwika kwa wiki mbili BBC,DW,VOA.. CNN na ALJAZEERA wakamtolea nje, anatafuta namna ya kuwika tena. Lissu hana jipya na ndo kwisha habari yake. Niliwaambia zile zilikuwa kelele,Sasa anaanza kurudia story zake zilezile za 1999.
Kuna kanuni ya kisayansi inayosema kuwa kiungo kisichotumika baada ya muda hutoweka. Endelea hivyo hivyo na muda si mrefu ubongo wako utatoweka.
Jibu hoja kama sio kwelinakwambia Lissu ni mgonjwa na akiongea utando mweupe waanzaa kutoka mashavuni kupitia mdomo huku akiomba msaada wa kusomesha wanaye
Nenda mtwara ukaone, acha kula upepepo wa wanasiasa!Vipi mmeshawalipa wauza koroshow
Awe mkweli kwa waTanzania.Kwa hiyo point yake ni nini sasa? Magufuli aachane na hawa wazungu au.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAWAAMINIKI HAO.nI KIKI ZISIZO NA MASHIKO KISHERIA.KABUDI ALIPOKUWA ANAONGEA "BODY LANGUAGE" ILIKUWA WAZI ALIKUWA ANADANDANYA!'Anaandika #Tundu_Lissu