Lissu kupata msamaha wa Rais?

Jana Lissu alimsisitizia ndunguru kuwa aweke kwenye rekodi za mahakama kuwa yeye Lissu hajaomba msamaha. Lissu siyo yule makengeza wenu .
 
Sasa kwanini hamkumuombea ahukumiwe kunyongwa hadi kufa na siku ya kunyongwa aoneshwe laivu ili tuone umwamba wake?
Ahukumiwe kunyongwa kwa kosa gani, ama unadhani hizi ni zama za wajinga?
 
Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
Mnalazimisha kumsamehe mtu asiyetaka, mlizoea kubambikia watu kesi ili wawanyenyekee. Huyo sio Mbowe, huyo amegoma kumsujudia shetani ili apate fahari za dunia.
 
Ahukumiwe kunyongwa kwa kosa gani, ama unadhani hizi ni zama za wajinga?
Mjinga ni wewe unayemsifia mwenzako ni Mwamba wakati anaenda jela miaka minne akitenganishwa na familia yake wakati wewe mjinga, mpumbavu, mshamba, mshenzi umejificha kwa jina bandia JF unajifanya unamuunga mkono! Ahahahahaha!

Na Lissu kwa ujinga wake akafikiri Kuna watu nyuma yake wanaomuunga mkono. Jana wakati anapelekwa gerezani kama ana akili atakuwa amejifunza mengi!
Na kupelekwa kwake gerezani atakaposhikwa mgongo na wanaume wenzake nchi IMETULIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!
 
9 December inaweza kufanya jambo je itakua vp swala la mgombea kiti cha uraisi asiwe amewahi kupatikana na hatia na kufungwa jela.
Sifa za Lissu kugombea Urais ziko pale pale. Hukumu hii haijaondoa chochote.
 
Hata Yesu aliuwawa mbele ya waumini wake, mbona hawakwenda kuzikwa naye wakati alisema alikuja kuwakomboa? Lisu namuunga mkono, hata alipokuwa mbunge sikuwa naingia naye bungeni, na hata akiwa rais sio kwamba nitaenda kulala ikulu. Kama nchi imetulia mnalazimisha maridhiano ya nini?
 
Kwahiyo unafikiri Lissu ni Yesu? Mmedanganywa hivyo na Dr. Kitima? Ahahahahaha!

Sawa. Yesu alipofariki na kufufuka, alikaa siku arobaini tu "akapaa mbinguni kwa Baba" alipo hadi leo sio?

NIMEKUSOMA! 👍👍👍👍
 

Lissu amejifunza kutotegemea watu useless Kama nyie!!
 
Sema anahukumiwa kwa kumfunga Lissu kwa mashitaka ya Uongo!
 
Lissu amejifunza kutotegemea watu useless Kama nyie!!
Angekuwa mpuuzi kama Mbowe, jana kwenye mahakama za simu moja asingesema hataomba msamaha. Na uzuri kawaambia majaji wa mchongo wasome hukumu waliyoandikiwa, ikabidi majaji wasome hukumu kwa hasira na fedheha ya hali ya juu ya kuambiwa ukweli mchana kweupe.
 
wewe sio lisu amtoe au laa hiyohukumu itaishia mahakama ya rufani
 
Yanaanzaga hivihivi kumbe zimeleak toka chumbani kwa mama kuna matobo sana kila kona ya serikali ya mama, ya habari, pesa za umma, mali za umma, na kila kitu kinavuja tu mwilini na maofisini
 
Mnapima reaction ya Watanzania kwa huo upumbavu mlioundaa??

Watanzania hatutaki msamaha ambao Lissu mwenyewe kaugomea, tunataka haki na utawala wa kisheria sio mambo ya kihuni..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…