Lissu: Kumkamata Harbinder Sethi na James Rugemalira ni sawa lakini haitoshi

Kama namuona Bush lawyer anavyoandaa counter- speech na ziara za Pwani ni siku 3 mfululizo. Na monkey-see, monkey- do wake nao wanasubiri wakate viuno kwa nderemo. Ushauri, tulieni msome hii picha vizuri kama mnataka kupambana naye. Kumfuata jamaa kila tawi mtachana marinda bure.
 
sentensi yako ya mwisho imefanya utetezi wako usiwe na maana,namlinda nani..kikwete!?,umekataa nini umekubali nini?
Hyo message ni kwa watawala maana wanadai tuwaache wastaafu wapumzike.... ila hoja yangu ni kwamba Rais ana kinga ya kushtakiwa ila hana kinga ya kuhojiwa hivyo nataka wote wahojiwe akiwemo kikwete ili waliohusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria

Ahsante
 
Kama Magufuli hawezi kuvunja mhimili wa Bunge nakuanza upya hapo tutaishia kushangilia upepo
Hakuna jipya katika nchi hii wapiga dili ni familia kubwa nchini
Hii familia ndio iliopo ikulu ndio JWTZ ndio Magereza ndio Police wetu ndio usalama wa taifa lakini pia ndio wamiliki wa bank zote nchini...pia ni wamiliki wa project zote za pesa huwezi kushindana na hawa na ukawashinda tunasafari ndefu ambayo dreva wetu hajui barabara ya kijiji chake...
 
Hapa ndio utashangaa maajabu ya maandishi, tumemsoma wote but mwishoni mwa siku utasikia wengine tuliosoma nao maandishi haya haya wanakuja na kusema, "Lissu anatetea wezi na mafisadi" Dunia ina maajabu hi.
Inashangaza mkuu,kuna watu wanatumia matako kuelewa,haiwezekani mtu anayesema usiishie hapa eti anakuwa amekupinga
 
Ni wenye akili timamu tu ndio tunamuelewa Lisu anasimamia nini, lakini usitalajie kundi la mazezeta lenye kaswende ya ubongo kumuelewa Lisu ameandika nini.

Hatutaki double standard kwenye vita dhidi ya ufisadi au maigizo katika vita hii, wahusika wote wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria.

Unaakili timamu weye!!!!!
 
Wale wa Simba trust Ltd wameachwa et!!!
only in Tanzania.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Lissu ni kwikwi.

Magu ni mpinzani wa upinzani lakini hakinzani na mawazo yote ya kambi ya upinzani.

Vita ya uchumi ingeanza mapema hata kabla ya kina Kafulila kuitwa Tumbili leo tungekuwa hata tumepiga hatua kadhaa kiuchumi.
 
Hyo message ni kwa watawala maana wanadai tuwaache wastaafu wapumzike.... ila hoja yangu ni kwamba Rais ana kinga ya kushtakiwa ila hana kinga ya kuhojiwa hivyo nataka wote wahojiwe akiwemo kikwete ili waliohusika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria

Ahsante
mbona unajambajamba kihoja!
 
Wengne watafuata lin mkubwa?kwa nn wasianze wao wafuate hawa?kla ktu waz after all kikwete alisema zile si za umma..wawaachie tu
 
mbona unajambajamba kihoja!
Yeah unaweza kutukana ni hako yako ila hoja ni kwamba asiachwe mtu nyuma..... mwisho wa siku tuone waliotufikisha hapa wote wanafikishwa mahakamani n haki itendeke wakiwemo hao marais wastaafu wahojiwe ili maccm yote yaliyoiba yafungwe ndani ili nchi ianze upya kusimamia uadilifu na uwajibikaji ssa kma wwe unaona seth kufungwa ndio tupige vigelegele huku simba trust na wale wa lumbesa za stanbic wako kitaa then haupo serious kabisa
 
we uliwaona wa lumbesa,au imekua dodoki,vichafu,visafi vyote unafyonza?..na richmond vipi..maccm tu!?
 
Inatikwa kufika mahali kumpongeza Magufuli kwa hizo hatua ndogo anazochukua...
Kumpongeza "for fooling us' utakuwa ujuha wa namba ya kwanza. Kwani unataka kutuambia nini asichokijua Magufuli kuhusu Escrow! Sasa anashindwa nini kuwachukulia hatua washiriki wote sawia? Kwa nini anawabagua wakati wote ni wezi? Endeleeni kumpongeza enyi wenye bongo haba!!!
 
FB_IMG_1497980788501.jpg
FB_IMG_1497980515689.jpg
hii picha ya juu habinder anajutia kweli haamini km anaweza kulala sakafuni...hivi huyu ruge naye chanzo cha mapato yake ni nini?!
 
Kama Magufuli hawezi kuvunja mhimili wa Bunge nakuanza upya hapo tutaishia kushangilia upepo
Hakuna jipya katika nchi hii wapiga dili ni familia kubwa nchini
Hii familia ndio iliopo ikulu ndio JWTZ ndio Magereza ndio Police wetu ndio usalama wa taifa lakini pia ndio wamiliki wa bank zote nchini...pia ni wamiliki wa project zote za pesa huwezi kushindana na hawa na ukawashinda tunasafari ndefu ambayo dreva wetu hajui barabara ya kijiji chake...

Subiri utaona mwisho wao soon hii Mkuu ni TZ mpya ya watu wapya wenye mawazo mapya wanaotaka mwelekeo mpya kwa mapokeo mapya na kizazi kipya na nchi mpya.Achana na wajinga wa waliofikisha taifa hapa wao ni Pingu tuuuuuuu.Set aluyegemea??????? Kaaa mkao wa kumeza siyo kula.shenzi kabisa wale
 
we uliwaona wa lumbesa,au imekua dodoki,vichafu,visafi vyote unafyonza?..na richmond vipi..maccm tu!?
Richmond kwani chadema ndio ilikuwa na dola??? Hahahhaha kaz kwelikweli...... ndio nafyonza maana alisema filikunjombe na ushahidi walidai wanao ssa mbona mlikataa wasiuwasilishe??? Yote yatajulikana tu ngoja dikteta uchwara aje awaaumbue hapa kufika 2020 mkiwa mmetaifishwa mali zenu nahisi ndio akili itarudi

Ingawa sikumpigia kura magu na sitowahi kumpigia kura kamwe ila kwa hili la IPTL namuunga mkono 100% yaani bado muhongo na werema yaani majizi yote mpaka katibu wa rais bwana gurumo yanyooshwe ili haki itendeke kwa wapigania haki kina kafulila na flikunjombe
 
'ushahidi walidai wanao'!..mbona misimamo yako imejengwa juu ya misingi ya umbeambea!?..uliishia la ngapi?
 
'ushahidi walidai wanao'!..mbona misimamo yako imejengwa juu ya misingi ya umbeambea!?..uliishia la ngapi?
Sasa so ndivyo walijibu walipoulizwa kma wana ushahidi?? Walidai wanayo footage na bunge lilitaka watawapa sasa umbea ni upi?? Si video za siku ya mjadala zipo youtube ama unafkiri ni hearsay???? We jitoa ufaham tu mkuu kwa kutetea mafisadi ila kiama chenu kitakuja kaanza singa singa bado chenge na werema....... kwa hili namsupport dikteta uchwara ili awanyooshe vzuri mpaka akili zirudi kichwani
 
plainly empty upstairs..grow up nigga
 
plainly empty upstairs..grow up nigga
Yes am empty upstairs..... so does it still still change the fact that IPTL thugs embezzled our public funds????? Does it change the fact that billions were wired from stanbic bank to influencial government officials on cash terms illegaly since no notification was verified by the central bank of such high valued withdrawals???

Bro u can go left and right up and down but one thing i know for sure there is no way seth and ruge could spill the money to influencial government figures if thr deal was clean coz i mean where on earth would i share billions of money with top government officials while i have no family or friendly obligation with the latters!!!

I guess mr grown up or whatever u call urself u should have learnt that it takes an awful lot to transform LIES into FACTS
 
Back
Top Bottom