Hivi wewe unaongea huu utumbo ukiwa unahara au unaota mchana kweupe?Amani ya Bwana iwe nanyi wapendwa
Kabla ya yote husika na kichwa cha habari hapo juu
Najua hizi ni habari mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wezi
Ukweli ni huu hapa, uchaguz ujao Lissu huna chako jimbo linasepa kwa kwa msomi mbobezi Prof. Mkumbo.
Kilichowachosha wananchi wako ni tabia yako ya kutetea wezi.
Hongera sana kwa utumishi na utendaji wako uliotukuka, Prof. Mkumbo jimbo linakusubiri wananchi wameamua.
Mwambie Jpm akajaribu kugombea hili jimbo la Lissu uone kama hajadhalilishwaAmani ya Bwana iwe nanyi wapendwa
Kabla ya yote husika na kichwa cha habari hapo juu
Najua hizi ni habari mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wezi
Ukweli ni huu hapa, uchaguz ujao Lissu huna chako jimbo linasepa kwa kwa msomi mbobezi Prof. Mkumbo.
Kilichowachosha wananchi wako ni tabia yako ya kutetea wezi.
Hongera sana kwa utumishi na utendaji wako uliotukuka, Prof. Mkumbo jimbo linakusubiri wananchi wameamua.
Nenda ukajambe..naona umebanwa
Kumtoa lissu ikungi sawasawa na ccm kufukuza machizi yote ndani ya chamaAmani ya Bwana iwe nanyi wapendwa
Kabla ya yote husika na kichwa cha habari hapo juu
Najua hizi ni habari mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wezi
Ukweli ni huu hapa, uchaguz ujao Lissu huna chako jimbo linasepa kwa kwa msomi mbobezi Prof. Mkumbo.
Kilichowachosha wananchi wako ni tabia yako ya kutetea wezi.
Hongera sana kwa utumishi na utendaji wako uliotukuka, Prof. Mkumbo jimbo linakusubiri wananchi wameamua.
Umenena vizuri. Ngoma anayopiga JPM kuhusiana na uchimbaji madini hata hao vijana wajimboni kwake wanaifurahia, hivyo wataachana na Lissu aliyekomalia kuwatetea wachimba madini wazungu wanaotuibia na kunyanyasa wachimbaji wadogo wadogo wetu wazawa.Mkuu Tundu Lissu siyo Mnyiramba bali ni Mnyaturu. Makabila hayo mawili ni majirani lakini yanatofautina kimila na desturi. Mtu ambaye anaweza kumpa shida Tundu Lissu kwenye uchaguzi lazima awe Mnyaturu kuliko Mnyiramba. Anna Mghwira na Njau ni tishio kwa Tundu kuliko Prof Mkumbo.
Faida aliyonayo Tundu Lissu ni kuwa anawafuasi wengi Vijana waliohamasika kupiga kura. Vijana Wachimba madini wanaona yeye ndiyo Mtetezi wao wakati Serikali na CCM ni Wanyanyasaji. Pia wapo wanaompenda kwa sababu ya upinzani wake kwa Ujumla Kitaifa Hata kama hajafanya mengi ya Maendeleo Jimboni mwake ( Elimu hajaisemea kabisa). Tundu Lissu umarufu wake unambeba kuliko utendaji huko Jimboni mwake. Angalizo kwa Tundu Lissu, uchaguzi uliopita nyumbani kwake alikosa kura na Diwani pekee kutoka CCM ni wa Kata yake!! Hiyo inaonesha dalili mbaya ingawa pia kuna ukweli kuwa Nabii hapati heshima kwake ila unaweza ukawa ndiyo mwanzo wa mwisho wa utawala wake kisiasa Jimboni mwake.
Asichokijua mleta mada ni kuwa hata iweje Mnyaturu hawezi wakilishwa na Mnyiramba,kwa anae elewa asili ya huu mkoa atanielewa vema.Mkumbo anatoka Ndago,Iramba kwa Mwigulu,Ikungi kwa Lissu akatafute laana?
Ukimaliza Ku bleed uje utoe post ya maana ..kifurugobe weweHuu ndiyo uwezo mkubwa wa timu Ukiwa zamani UKAWA katika kujenga hoja.Rudini kwa wajenga hoja wawarudishe relini.