Lissu kugalagazwa vibaya sana uchaguzi ujao, Mkumbo kubeba jimbo kiulaini

Labda muamrishe mkurugenzi wa uchaguzi kutangaza matokeo yaliotoka Ikulu..
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Kabla ya yote husika na kichwa cha habal hapo juu

Najua hiz ni habali mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wez

Ukweli ni huu hapa uchaguz ujao lissu huna chako jimbo linasepa kwa kwa msomi mbobezi pro mkumbo, wananch wako wamechoka kuongozwa na kilaza kama wewe uliyefoj uanasheria maana ulifel kitu kilichopelekea kuwa unarudia rudia kila mara

Kingine kilichowachosha wananch wako ni tabia yako ya kutetea wez

Sasa ukome jimbo ndo hivyo tena linasepa wewe kaa na njaa zako kwaher katundu kalisu tulikupenda sana ila ndo hivo tena hakuna namna, sasa unaenda kubak history

Hongera sana kwa utumishi na utendaji wako uliotukuka pro mkumbo jimbo linakusubil wananch wameamua
Mkumbo ni wa Iramba sio jimbo la Lissu bali la Mwigulu
 
Kama hamuwezi kusimamia ilani yenu mtaweza kumshinda jemedari alitukuka kabisa Tundu Lissu??

Captureccm.PNG
 
Huna hoja ya msingi ni hebu sema kitu unacho weza kuthibitisha. Nani kasema kuwa sisi wananchi tumemchoka? Na je unaweza kuthibitisha?
 
Bwana yupi? Anayeongozwa na Bwana hunena maneno ya kujenga na staha. Sio kwa staili hiyo
 
Inasikitisha pale watanzania tunapokazana kushangilia mtu anayeibana serikali bungeni atoke au asirudi bungeni. Mfano mwingine ni watu kama kina Kafulila na sintoshangaa nikisikia hata Bashe watu hawataki arudi.

Tuna safari ndefu kama nchi..
 
Amani ya Bwana iwe nanyi wapendwa

Kabla ya yote husika na kichwa cha habari hapo juu

Najua hizi ni habari mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wezi

Ukweli ni huu hapa, uchaguz ujao Lissu huna chako jimbo linasepa kwa kwa msomi mbobezi Prof. Mkumbo.

Kilichowachosha wananchi wako ni tabia yako ya kutetea wezi.

Hongera sana kwa utumishi na utendaji wako uliotukuka, Prof. Mkumbo jimbo linakusubiri wananchi wameamua.

Lissu na Mkumbo wapi na wapi. Singida Mashariki Mkumbo hakanyagi kabisa kwanza sio mwanajimbo na pia influence ya Lissu huko huwezi imagine. hata hivyo Lissu sio saizi ya jimbo kwa sasa, needs to do something bigger.

I am proud of my MP.
Team Makiungu
 
hata hujui kitila ni wa iramba kule.

poor you

wanyaturu hawawezi kumchagua mnyiramba kuwa mbunge wao
 
Back
Top Bottom