Lissu kugalagazwa vibaya sana uchaguzi ujao, Mkumbo kubeba jimbo kiulaini

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,936
2,000
Amani ya Bwana iwe nanyi wapendwa

Kabla ya yote husika na kichwa cha habari hapo juu

Najua hizi ni habari mbaya sana kwa ndugu zangu watetea wezi

Ukweli ni huu hapa, uchaguz ujao Lissu huna chako jimbo linasepa kwa kwa msomi mbobezi Prof. Mkumbo.

Kilichowachosha wananchi wako ni tabia yako ya kutetea wezi.

Hongera sana kwa utumishi na utendaji wako uliotukuka, Prof. Mkumbo jimbo linakusubiri wananchi wameamua.
 

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,159
2,000
Lissu hata muende ukoo wenu wote wa panya pamoja na mafisi yenu hawezi kung'oka Ikungi. Lile ni Gwiji la siasa Tz.Hutaki nenda kamuulize Mkwere aliyesema ni bora ya Slaa kuingia Ikulu kuliko Lissu kua Mbunge.

Halafu wewe kilaza huyo Mkumbo wako unayemnadi ni Mnyiramba wa Kiomboi akatafute nini Ikungi.Hatutakagi ujinga sisi,mleteni muone mziki wake.

Lissu ni namba nyingine acheni kupotosha watu, CHADEMA wakiamua kumsimamisha Lissu 2020 hata Magu hapati kitu.
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,521
2,000
kumtoa lissu jimboni kwake mjipange. kwa vile mmepeleka mkurugenzi kada kule ikungi sijui. lissu ni mbunge wa kitaifa. hongereni singida mashariki kwa kulitendea haki taifa letu na jimbo letu.
 

fattys

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
669
500
Labda Jua lizame mashariki. Mleta Uzi hujua tabia ya hao watu wa Jimbo la Singida Mashariki. Fanya utafiti kabla hujaandika huo uongo.
 

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
3,905
2,000
Hilo linajulikana. Tundu kurudi mjengoni ni ngumu kama ngamia kuingia kwenye Tundu la sindano. Acha Mkumbo hata Anna Mghwira anatosha kumgalagaza huko Unyirambani kwa watani wake na JPM.

This is obvious and Tundu knows it and is happy to have enjoyed a ten years tenner as an MP. Few can have such a privilege. You may elect him as Chairman of your party thenafter if you are still going to be fond of him, or he can continue to be the party's legal secretary at a nominal fee of 100 USD dollars per day. He is a great asset to your party.
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608
2,000
kumtoa lissu jimboni kwake mjipange. kwa vile mmepeleka mkurugenzi kada kule ikungi sijui. lissu ni mbunge wa kitaifa. hongereni singida mashariki kwa kulitendea haki taifa letu na jimbo lenu.


Uchaguzi uliopita alipita kwa asilimia ngapi ya kura?
 

Akili 09 Nguvu 01

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
591
1,000
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]
: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

Hapo nani anatetea wezi? Bila shaka ni Waliopitisha Sheria na Waliosaini Mikataba

FACT: Kura hupigi wew peke yako, Wanapiga watu wa Singida Mashariki ambao Miaka yote hua Wanampa Kura Nyingi za Upendo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom