Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

zama hizi za Magufuli Muhimbili iko vizuri haina tofauti na APPOLO ya India.....Lisu angeenda Muhimbili sasa hivi angekuwa bungeni kashapona
Usijitoe akili. Pale Muhimbili wale wasiojulikana wangeweza kummalizia Lissu bila shida. Hicho bdicho alichohofu Mbowe akaamua aende Nairobi ambako ulinzi uliimarishwa
 
Habari za Januari 5!!! Tuletee habari za kampeni za uchaguzi wa marudio Siha na Kinondoni habari za Lissu za Jan 5 zilipendwa!!
Taarifa kama hii kamwe haitawafurahisha kwa sababu, matokeo hayakukidhi matarajio.

Ila kifo kiko pale pale, uwe raia uwe madarakani, uwe ndio unapanga nani auwawe, hakika utakufa. So, wewe ni utoto tu unakusumbua.
 
Kuwepo hai kwako (Tundu Lissu) ni kutokana na ramani yako ya kuishi humu duniani ilivyochorwa. Ama awe Mbowe au yeyote yule, ramani yako inasomeka hivyo na ndio maana ungali hai ingawa kwa namna tofauti na ulivyokuwa kabla ya tukio hilo!
Aidha inawezekana (kwa kiasi kikubwa) shambulio hili likawa la kisiasa (kutokea upande wowote) na sio la kiserikali!
Hauna hoja. You better keep quiet. Nani sasa kazuia hao wasikamatwe.?
 
zama hizi za Magufuli Muhimbili iko vizuri haina tofauti na APPOLO ya India.....Lisu angeenda Muhimbili sasa hivi angekuwa bungeni kashapona
44d31d9c3fb7e16d41430e908c0c668e.jpg
 
Atakuwa kajifunza kuwa duniani anatakiwa kuwa na huruma na MTU au Serikali ikiwa inadhulumiwa na kuonewa na wawekezaji wawe wa madini au watu washika bombardier hutakuwi kusimama na mtesi wa serikali ambaye utesi wake utaumiza walipa kodi wengi maskini ili walipe madini au bombardier au kodi zilizokwepwa.Ukiwa mbunge uwe wa upinzani au CCM always simamia maslahi ya nchi usiwe kibaraka wa waoneao nchi.Vita ikilipuka watu wa Kwanza kuuawa huwa ni vibaraka wa watu wa nje .Hilo alijue yeye na vibaraka wenzie .Vita ya kiuchumi ni kubwa kuliko uchumia tumbo wa Lisu na familia yake usiozingatia maslahi ya nchi
de38178e15fdb2e4891dc61d22406237.jpg
 
Habari za Januari 5!!! Tuletee habari za kampeni za uchaguzi wa marudio Siha na Kinondoni habari za Lissu za Jan 5 zilipendwa!!
Mp..z kama polepole anaye sababishia nchi hasara za kurudia uchaguzi kisa kuunga mkono frastrations za raisi
 
Hiyo satellite wakenya walioitengeneza inawaingizia shilingi ngapi kwa mwezi au sifa tu?
Marudio ya uchaguzi yanatuingizia sh ngapi au........ U-polepole wa huko Lumumba?
 
Usijitoe akili. Pale Muhimbili wale wasiojulikana wangeweza kummalizia Lissu bila shida. Hicho bdicho alichohofu Mbowe akaamua aende Nairobi ambako ulinzi uliimarishwa
Kwa hivyo dodoma hosp kwakuwa hawakummalizia pale basi ni hosp ya chadema, kwamba ulinzi uliimarishwa eeh
akili nyingne bhana
 
Habari za Januari 5!!! Tuletee habari za kampeni za uchaguzi wa marudio Siha na Kinondoni habari za Lissu za Jan 5 zilipendwa!!

Zamani yako, sasa ya mwingine, kataa kuwa kichaka!
 
Muhimbili National Hospital has the best doctors in Africa south of the Sahara. It is an acreditated international hospital. Akina Mbowe kama hawangefanya uupuzi wao huo kwenye masuala ya kitaaluma, Lissu ndani ya wiki 3 au 4 angalikuwa mzima wa afya bila ulemavu wo wote na saa hizi angalikuwa anahudhuria kikao cha bunge kinachoendelea.
 
Tena usiongelee Muhimbili kabisa.Uzembe wa Madaktari umemuondoa binti yangu.
Ni Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi binti yako, siyo uzembe wa Madaktari! Hata ungalimpeleka wapi matokeo yangalikuwa hivyo hivyo. Pole sana ila mwache binti yako a RIP!
 
Back
Top Bottom