Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

MUNGU alisimamia mipango yote kupitia watu; ili awaonyeshe kwamba yeye ni alfa na omega.
 
zama hizi za Magufuli Muhimbili iko vizuri haina tofauti na APPOLO ya India.....Lisu angeenda Muhimbili sasa hivi angekuwa bungeni kashapona
Binafsi sipendi watu watibiwe nje na nina iamini sana hospitali yetu ya Taifa ya Muhimbili ila hoja fikirishi hapa ni kitendo cha Rais kutoa mchango wa milioni 15 kwa msanii wa Bongo movie kwenda kutibiwa India maana yake amekubali Muhimbili kuna baadhi ya issue bado kuna shida vinginevyo tunavyomjua angeshauri msanii apelekwe Muhimbili kwa gharama za serikali (kama mguu ni hivyo na Rais ameunga mkono kwa mchango wa kwenda India, je issue ya Lissu ingekuaje maana ilikuwa tia maji tia maji)....
 
Naona ubelgiji visa imekuwa ishu, au huko hawatumii facebook?
 
hivi chadema haina imani na muhimbili? mnajua athari zake?
 
Ni Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi binti yako, siyo uzembe wa Madaktari! Hata ungalimpeleka wapi matokeo yangalikuwa hivyo hivyo. Pole sana ila mwache binti yako a RIP!

Hahhahahahah unapomuoverdose mgonjwa inakuwa Mungu alimpenda zaidi?Acheni kuukubali upumbavu ni lazima watanzania tukubali kuliita SPADE A SPADE not kijiko kikubwa
 
Akachinje jogoo kwani pale Muhumbili nadhani wangelipasua kichwa chake waangalie kama kuliingia risasi au moshiwa risasi. Ana bahati ya mutende kuwa order kutoka juu haikuja kuwa aombe kibali cha safwari.

Hakuhitajika kuchinja JOGOO bali kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyomtendea
 
zama hizi za Magufuli Muhimbili iko vizuri haina tofauti na APPOLO ya India.....Lisu angeenda Muhimbili sasa hivi angekuwa bungeni kashapona

Nenda mpeleke nduguyo akiwa maututi halafu uje utiueleze.Sasa hivi Mloganzila na Muhimbili ni kama majeneza yatafutayo wateja
 
Hahhahahahah unapomuoverdose mgonjwa inakuwa Mungu alimpenda zaidi?Acheni kuukubali upumbavu ni lazima watanzania tukubali kuliita SPADE A SPADE not kijiko kikubwa
Siku na saa ambazo Mungu alikupangia zikifika hata ukiwa mikononi ya daktari bingwa kuliko wote duniani kuna kitu kitatokea bila kujua huyo daktari akafanya ndivyo sivyo. Kuwa overdosed kwa bahati mbaya ndicho Mungu alipanga na huwa inatokea mahali pote duniani.
 
Back
Top Bottom